Huyu ndiye msanii mwenye mafanikio makubwa kuliko yeyote Tanzania nzima

Huyu ndiye msanii mwenye mafanikio makubwa kuliko yeyote Tanzania nzima

Mamamaaaaeeee yaani A.Y tajiri kuliko Lionel Messi/Christian Ronaldo....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwa hiyo unanilazimisha mie mtoto wa kiume nimchukie Mwanaume mwezangu bila sababu yoyote kisa binadamu tumeumbwa na chuki?!

Nadhani wewe itakuwa ni mwanamke maana wanawake ndio wenye chuki za namna hii.Mwanamke anaweza kumchukia mtu tu kisa alimuona kwenye movie akimuwekea sumu yule actor kipenzi chake.

Hizo ni tabia za kike na sisi wanaume hatuwezi kuwa nazo umchukie dume mwenzio tena bila sababu yoyote!?

Wanaume tunachukiana tukinyimana deal na siku zote huwa tunaambiana ukweli na yanaisha kama akijatokea kitu.

Haya wewe mwezetu ni Jinsia gani?!

Mzaramo,sijakulazimisha kumpenda au kumchukia mtu,ni uamuzi binafsi and im fine with that...

Tatizo ni mimi kutumia haki yangu ya uamuzi wa kumchukia mtu na wewe kuanza ku-catch feelings...

Binadamu wote tumeumbwa innately na upendo na chuki kwahiyo huwezi kusema duniani watu wote ni wanawake.

Ulivyo mnafiki zaidi,huwezi kusema eti maisha mwako hujawahi chukia mtu,huu ni uongo.Just kua mkweli.

Hamna tabia ya kike kama kua mnafiki na kufuatilia utajiri wa wanaume wenzio kama ufanyavyo.

Tukienda kwa mwendo huu hatutafika mwisho wa hii hoja,we'll be running loops.Mpende na mimi simpendi,kila mtu ana uhuru,simple as that.Peace!
 
Natangulia TRA nione kiasi cha kodi anacholipa kwa mwaka ndio nitarudi hapa kuchangia
 
Ni kweli kabisa usemacho, na utajiri wake kwasasa ni 5.6b$.
Acha masihara wewe, Dr. Dre kaanza kitambo sana kwenye gemu ndo juzi juzi kaiona 1billion Us Doller, kina jay z, beyonce, P. Diddy sidhani kama wameshafika hapo. Sema labda 5.6 T shillings, sio haba kikwetu kwetu!
 
Kwel nmezaliw juzi ila ww hujui maan ya mafanikio, unazidiw na mm mtot wa juzi
kama hujui mafanikio Bora utulie tu Zee kwasasa ndo anawasaidia madogo kutoka nje kama haujui
 
AY ni kama timu ya Kagera Sugar. Huwaga ipo kwenye ligi lakini haijawahi kutamba. Hakuna kipindi ambacho AY kakaa namba moja hapa nchini kama msanii anaevuma zaidi. Hata Blue kamzidi sana AY. Kuhusu utajiri wake sina uhakika. Ila tukumbuke ukiwa na hela tena kijana haitafichika kwahiyo AY huo utajiri wake ni mashaka matupu.
 
eti AY havumi wala hajurikani aiseeee 1:4 inakuhusu kabisaa wewe
 
ninyi waanikeni madalali wa serikali wakitia team kukusanya chao mnaanza kulalamika wanaonewa
analipa kodi shs ngapi?
 
We dogo unaelewa ulichoandika au unadhani upo kwenye group lako la whatsapp?

unajua utajiri wa Jay Z,Dr Dre na Diddy ni dollar ngapi?
Siujui,mi ninaoujua ni wa A.Y tu,ambao ni 29.7 b$. Au 29,700,000,000 $. Umeamini au hukuamini mi HAINIHUSU.
 
Mzaramo,sijakulazimisha kumpenda au kumchukia mtu,ni uamuzi binafsi and im fine with that...

Tatizo ni mimi kutumia haki yangu ya uamuzi wa kumchukia mtu na wewe kuanza ku-catch feelings...

Binadamu wote tumeumbwa innately na upendo na chuki kwahiyo huwezi kusema duniani watu wote ni wanawake.

Ulivyo mnafiki zaidi,huwezi kusema eti maisha mwako hujawahi chukia mtu,huu ni uongo.Just kua mkweli.

Hamna tabia ya kike kama kua mnafiki na kufuatilia utajiri wa wanaume wenzio kama ufanyavyo.

Tukienda kwa mwendo huu hatutafika mwisho wa hii hoja,we'll be running loops.Mpende na mimi simpendi,kila mtu ana uhuru,simple as that.Peace!
Kinyume cha Nakupenda ni Sikupendi na sio nakuchukia maana yangu unaweza usimpende mtu fulani sawa mimi mwenyewe kuna watu kibao siwapendi ila hiyo haijawahi kufanya niwachukie kwa sababu kumchukia mtu ni tabia za watoto wa kike wanaweza kumchukia wifi yao bila sababu yoyote.

Ndio maana nastuka kuona unamchukia jamaa tena bila sababu yoyote.

Tafadhali na wala sio kwa ubaya...Wewe Ni JINSIA GANI?
 
Back
Top Bottom