Roman Catholic church!!!Ni kanisa gani wanaabudu hiyo picha?
Kwa Mama Kamche?
hayawahusu..Ni msiba mkubwa sana kuiabudu sanamu mungu hapendi
wikipedia sio source inayoaminika mno na wataalam wengi because it is free of any edition.Angalia Hizo Screenshot nilizo weka zinaonyesha Biography ya huyo Jamaa Naomba Utulize Moyo wako na Akili yako kisha SOMA hiyo biography yake IPO ktk Wikipedia alafu fananisha na Post hiyo tafadhali SOMA kiuadilifu bila Jazba!!!!
Lakini mkuu kosa la jamaa liko wapi? Ni wakati wa kuchukua hatua kaka si ushajuwa kuwa hiyo picha siyo yenyewe.Kwa uwezo wako mdogo yawezekana huoni impakti ya post yako na nini unalenga
Tunashukuru kwa hilo ila cha msingi ni bora ukafuata yale dini lako inataka kuliko kufanya haya
Nkutumie sources nyingine zko nyingi mno kuusu uyo mtuwikipedia sio source inayoaminika mno na wataalam wengi because it is free of any edition.
Mungu akuongozeWe ni mpuuzi mtoa post usifikiri watu ni wapuuzi kama wewe huyo atabaki kua mwigizaji alieigiza historia ya yesu na si vinginevyo tumia akili ndogo tu uliopewa kufikiria kabla hujapost upuuzi hapa jf
Bora mungemuabudu idefonsiHuyo mzungu aletwe na polisi hapa Mtwara atuombe msamaha maana tunamuabudu,tumeweka picha yeke na shingoni tumemvaa
Je hicho kitabu chenu ndo kinavyowafunza Naomba ulete andiko linaloruhusu kutrngeneza Picha ya Yesu na KuenziUnajua maana ya kuabudu?? Je ushawahi kuona wakristu wanaabudu picha??anayepaswa kuabudiwa ni Mungu wala sio picha ya mtu..Pia huyo jamaa ameigiza ili walau tujifunze kwa kuona yale aliyofanya Yesu akiwa hapa duniani kwa jinsi ya mwili...hayo ni mambo ya imani inabidi utulie ili kuyaelewa..
Uchokozi au ni ukweli?kwani huyo Deacon hayupo?na unaona kabisa mwenyewe anajisikia vibaya kuabufiwa ansemaBaadhi ya watu mnapenda kuanzisha na kuzirudia mada chokonozi! sijui ni kwa faida ya nani!
huwezi ukaelewa mambo haya,mpaka uwe na roho mtakatifu ndani yakoMkuu picha ya mwakilishi muhuni , muasherati ya kazi gani kwenye nyumba takatifu.? Mi naona bora ingetafutwa picha ya mtu ambaye ni muadilifu kidogo labda hata Nyerere hivi halafu mnaashiria kwamba ndio yeye mambo yataendelea kama kawaida.
Angalia Hizo Screenshot nilizo weka zinaonyesha Biography ya huyo Jamaa Naomba Utulize Moyo wako na Akili yako kisha SOMA hiyo biography yake IPO ktk Wikipedia alafu fananisha na Post hiyo tafadhali SOMA kiuadilifu bila Jazba!!!!