Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

""Wakristo Wengi Sura Ya Huyu Msanii
Wanaisujudia Ktk Maombi Yao, Ktk
Rozali,BIBLIA,Makanisani Wameweka Sura
Yake, Ndugu Zangu Zindukeni Huko Sipo, Vipi
Msanii Wa Filamu Mumsujudie Ktk Makanisa?
Jam""
Hapa ndipo ulipokosea , kwa Akili yako ya kuzaliwa unadhani kati ya Rozali, Biblia na vingine ulivyo vitaja na huyu jamaa Brian Deacon ni kipi kiliaza, ukijuwa kipi kiliaza ndo utaelewa kuwa maneno yako yapo sahihi kuwa wanamsujudia. Kabla ujaleta Uzi unaweza kuwashirikisha watu wa Karibu wakakusaidia kupunguza Makosa kama haya. umeaza vizuri kuandika Uzi lakin uku mwishon umekosea
 
Baadhi ya watu mnapenda kuanzisha na kuzirudia mada chokonozi! sijui ni kwa faida ya nani!
 
Angalia Hizo Screenshot nilizo weka zinaonyesha Biography ya huyo Jamaa Naomba Utulize Moyo wako na Akili yako kisha SOMA hiyo biography yake IPO ktk Wikipedia alafu fananisha na Post hiyo tafadhali SOMA kiuadilifu bila Jazba!!!!
wikipedia sio source inayoaminika mno na wataalam wengi because it is free of any edition.
 
Unajua maana ya kuabudu?? Je ushawahi kuona wakristu wanaabudu picha??anayepaswa kuabudiwa ni Mungu wala sio picha ya mtu..Pia huyo jamaa ameigiza ili walau tujifunze kwa kuona yale aliyofanya Yesu akiwa hapa duniani kwa jinsi ya mwili...hayo ni mambo ya imani inabidi utulie ili kuyaelewa..
 
kwa hili ni ukwel mtupu. mjomba wangu niliwahi kumueleza huyu ni muigizaji tu. alinifokea tena alikuwa mwalimu mpaka Leo bado ameyabandika ndani. Halafu huwa anaibada za jioni na familia kuna li kinyago la huyu jamaa akiwa msalabani huwa wanalielekea tena wakiwa wamepiga magoti kwa unyenyekevu kabisa.
 
Sasa mnadhalilishwa vipi wakati kuna baadhi yenu wanamuabudu huyo mcheza filamu?
 
Kwa uwezo wako mdogo yawezekana huoni impakti ya post yako na nini unalenga
Tunashukuru kwa hilo ila cha msingi ni bora ukafuata yale dini lako inataka kuliko kufanya haya
Lakini mkuu kosa la jamaa liko wapi? Ni wakati wa kuchukua hatua kaka si ushajuwa kuwa hiyo picha siyo yenyewe.
 
Unajua maana ya kuabudu?? Je ushawahi kuona wakristu wanaabudu picha??anayepaswa kuabudiwa ni Mungu wala sio picha ya mtu..Pia huyo jamaa ameigiza ili walau tujifunze kwa kuona yale aliyofanya Yesu akiwa hapa duniani kwa jinsi ya mwili...hayo ni mambo ya imani inabidi utulie ili kuyaelewa..
Je hicho kitabu chenu ndo kinavyowafunza Naomba ulete andiko linaloruhusu kutrngeneza Picha ya Yesu na Kuenzi
 
Baadhi ya watu mnapenda kuanzisha na kuzirudia mada chokonozi! sijui ni kwa faida ya nani!
Uchokozi au ni ukweli?kwani huyo Deacon hayupo?na unaona kabisa mwenyewe anajisikia vibaya kuabufiwa ansema
 
Mkuu picha ya mwakilishi muhuni , muasherati ya kazi gani kwenye nyumba takatifu.? Mi naona bora ingetafutwa picha ya mtu ambaye ni muadilifu kidogo labda hata Nyerere hivi halafu mnaashiria kwamba ndio yeye mambo yataendelea kama kawaida.
huwezi ukaelewa mambo haya,mpaka uwe na roho mtakatifu ndani yako
 
Angalia Hizo Screenshot nilizo weka zinaonyesha Biography ya huyo Jamaa Naomba Utulize Moyo wako na Akili yako kisha SOMA hiyo biography yake IPO ktk Wikipedia alafu fananisha na Post hiyo tafadhali SOMA kiuadilifu bila Jazba!!!!

Wewe unasema aliezaliwa 1949, picha imekuwepo hata kabla ya mwaka 400AD.
Hivi kwa nini usitumie muda wako ukahubiri dini yako. Dhihaka si busara.
 
Back
Top Bottom