Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

haka kamchongo mbna tulishakajadili mara kibao mkuu,
naona lengo lake anataka kutudhalilisha tu,
ni bora kila mtu aheshimu imani ya mwenzake,hata kama tunamuabudu huyu mzungu si ni sisi,yeye yanamhusu nini?,
mbona hawasemi wahindi wanaoabudu ng'ombe
 
Ukweli Ni kua wakristu (Wakatoloki) Hua tunamwabudu Yesu alie HAI (Yesu Mfufuka) tunaweza kufanya hivyo mbele ya Sanamu au kitu chochote ambacho kinaimarisha zaidi Mang'amuzi yetu kuhusu Upendo wake Mkuu kwetu .
 
na uwepo wa sanamu haina maana kuwa tunaiabudu hiyo sanamu,bali iko pale kama kiwakilishi tu
 
Uwezo wako wakufikir ni mdogo sana.
Kubishana na mtu km ww usiejua unachokiandika ni kupoteza muda.
Humu ndio ukweli ndugu yangu,hebu Tao hoja zako hapo alichosema uongo ni kipi wakati hiki kipo wazi?majumba mengi yamewekwa picha za huyu msanii,tuambie uongo ni upi hapo?
 
Ni kweli japo inauma maana huwa nasujudia hiyo sanamu yake.

Wakati sasa wa kuondoa masanamu ya Deacon Brian.

Ni wakati wa kumtafuta wa kweli.
 
098cfa194f0fbed81cb53650304f0fcd.jpg
 
Wengine wameweka picha ya huyu muhuni majumbsni mwao kabisa wanajua ni yesu
Ila ndugu zangu hebu tuwe wakweli kutoka moyoni. Ni wazi kwamba bado kuna watu wengi ambao wamebandika picha hizi majumbani mwao na katika kundi hilo kuna wale ambao bado wanaamini kuwa huyo aliye kwenye picha ndiye yesu halisi japo kuna kundi jingine tunaoelewa kuwa yule ni muigizaji tu na si yesu.

Lakini pia tujiulize ni kwa kiasi gani sura ile ya yesu (katika igizo) ilivyotuathiri akili zetu wengi wetu kiasi kwamba unapokuwa katika maombi binafsi au na wengine nyumbani kwako, kanisani kwako au sehemu yoyote ile, picha ya Yesu inayokuwa inakuijia akilini wakati wa maombi hayo huwa ni ya huyo huyo muigizaji mzungu mwenye nywele ndefu na siyo mtu mweusi mwenye nywele fupi au mtu mwingine tofauti na huyo mzungu.

Kuna wakati unaweza kuwa kanisani na katika hubiri lake mhubiri pale mbele akasema "wapendwa ndugu zangu hebu fikiria jinsi Yesu alivyoteswa msalabani kwa ajili yetu binadamu....hebu PIGA PICHA AKILINI MWAKO yesu anavyocharazwa viboko, kudhihakiwa na kusurubiwa pale msalabani......". Sasa hapo mtu unajikuta unajenga akilini mwako taswira ya yule yule muigizaji Brian Deacon akicharazwa viboko, kudhihakiwa na kutundikwa msalabani!

Labda wenzangu mnisaidie kwa kunielewesha mnapokuwa katika maombi binafsi au na watu wengine unapojenga picha ya yesu kichwani mwako, akikunyooshea mkono wake au akisurubiwa kwa ajili yako picha inayokuja akilini mwako siyo hii ya huyu mzungu mwenye nywele ndefu aliye katika movie au kwenye vitabu vingi vya neno la Mungu kwa wakristo?

Kwa upande wangu picha ya Yesu ambayo uwa inaniijia akilini ndiyo hiyo ya huyo aliye kwenye movie.
 
Huyo mzungu aletwe na polisi hapa Mtwara atuombe msamaha maana tunamuabudu,tumeweka picha yeke na shingoni tumemvaa
 
Ila ndugu zangu hebu tuwe wakweli kutoka moyoni. Ni wazi kwamba bado kuna watu wengi ambao wamebandika picha hizi majumbani mwao na katika kundi hilo kuna wale ambao bado wanaamini kuwa huyo aliye kwenye picha ndiye yesu halisi japo kuna kundi jingine tunaoelewa kuwa yule ni muigizaji tu na si yesu.

Lakini pia tujiulize ni kwa kiasi gani sura ile ya yesu (katika igizo) ilivyotuathiri akili zetu wengi wetu kiasi kwamba unapokuwa katika maombi binafsi au na wengine nyumbani kwako, kanisani kwako au sehemu yoyote ile, picha ya Yesu inayokuwa inakuijia akilini wakati wa maombi hayo huwa ni ya huyo huyo muigizaji mzungu mwenye nywele ndefu na siyo mtu mweusi mwenye nywele fupi au mtu mwingine tofauti na huyo mzungu.

Kuna wakati unaweza kuwa kanisani na katika hubiri lake mhubiri pale mbele akasema "wapendwa ndugu zangu hebu fikiria jinsi yetu alivyoteswa msalabani kwa ajili yetu binadamu....hebu PIGA PICHA AKILINI MWAKO yesu anavyocharazwa viboko, kudhihakiwa na kusurubiwa pale msalabani......". Sasa hapo mtu unajikuta unajenga akilini mwako taswira ya yule yule muigizaji Brian Deacon akicharazwa viboko, kudhihakiwa na kutundikwa msalabani!

Labda wenzangu mnisaidie kwa kunielewesha mnapokuwa katika maombi binafsi au na watu wengine unapojenga picha ya yesu kichwani mwako, akikunyooshea mkono wake au akisurubiwa kwa ajili yako picha inayokuja akilini mwako siyo hii ya huyu mzungu mwenye nywele ndefu aliye katika movie au kwenye vitabu vingi vya neno la Mungu kwa wakristo?
Kuiwaza hiyo picha akilini mwako inaathiri nini? Hivi hujui kupitia hiyo filamu watu wengi walimkabidhi Mungu maisha yao.
 
Kuna watu wanaamini sura ya yesu ndo kama ile inayoigizwa as if kipindi chake kulikuwa na kamera na alipigwa picha, imaginations hadi watu wanaziamin!
 
Ni kweli,lakini hakuna picha halisi ya Yesu,Sema tu imagination ambazo tunaambiwa alikuwa na sura ya upole,Alikuwa na nywele ndefu etc
 
Kuna kinyago kimoja pale Arusha wamekipaka rangi nyeupe wanasems eti ni Bikira Maria
Kipige picha utupie humu.

Na ni wapi?

Je mama wa Yesu 'si bikra tena' maana alishazaa anaweza kumfikisha mtu mbinguni?
 
Hivi mbona mnahangaika na imani za wengine zinawahusu nini asubuhi yote hii mtu anaanzisha uzi wa kuukashifu Ukristo ni kanisa gani ambalo ukienda wanaabudu hiyo picha.?
 
Back
Top Bottom