naona lengo lake anataka kutudhalilisha tu,haka kamchongo mbna tulishakajadili mara kibao mkuu,
na uwepo wa sanamu haina maana kuwa tunaiabudu hiyo sanamu,bali iko pale kama kiwakilishi tuUkweli Ni kua wakristu (Wakatoloki) Hua tunamwabudu Yesu alie HAI (Yesu Mfufuka) tunaweza kufanya hivyo mbele ya Sanamu au kitu chochote ambacho kinaimarisha zaidi Mang'amuzi yetu kuhusu Upendo wake Mkuu kwetu .
Humu ndio ukweli ndugu yangu,hebu Tao hoja zako hapo alichosema uongo ni kipi wakati hiki kipo wazi?majumba mengi yamewekwa picha za huyu msanii,tuambie uongo ni upi hapo?Uwezo wako wakufikir ni mdogo sana.
Kubishana na mtu km ww usiejua unachokiandika ni kupoteza muda.
Ila ndugu zangu hebu tuwe wakweli kutoka moyoni. Ni wazi kwamba bado kuna watu wengi ambao wamebandika picha hizi majumbani mwao na katika kundi hilo kuna wale ambao bado wanaamini kuwa huyo aliye kwenye picha ndiye yesu halisi japo kuna kundi jingine tunaoelewa kuwa yule ni muigizaji tu na si yesu.Wengine wameweka picha ya huyu muhuni majumbsni mwao kabisa wanajua ni yesu
kwa iyo unaweza kuweka picha ya Diamond ukaiabudu kama kiwakilishi cha Yesu?na uwepo wa sanamu haina maana kuwa tunaiabudu hiyo sanamu,bali iko pale kama kiwakilishi tu
Kuiwaza hiyo picha akilini mwako inaathiri nini? Hivi hujui kupitia hiyo filamu watu wengi walimkabidhi Mungu maisha yao.Ila ndugu zangu hebu tuwe wakweli kutoka moyoni. Ni wazi kwamba bado kuna watu wengi ambao wamebandika picha hizi majumbani mwao na katika kundi hilo kuna wale ambao bado wanaamini kuwa huyo aliye kwenye picha ndiye yesu halisi japo kuna kundi jingine tunaoelewa kuwa yule ni muigizaji tu na si yesu.
Lakini pia tujiulize ni kwa kiasi gani sura ile ya yesu (katika igizo) ilivyotuathiri akili zetu wengi wetu kiasi kwamba unapokuwa katika maombi binafsi au na wengine nyumbani kwako, kanisani kwako au sehemu yoyote ile, picha ya Yesu inayokuwa inakuijia akilini wakati wa maombi hayo huwa ni ya huyo huyo muigizaji mzungu mwenye nywele ndefu na siyo mtu mweusi mwenye nywele fupi au mtu mwingine tofauti na huyo mzungu.
Kuna wakati unaweza kuwa kanisani na katika hubiri lake mhubiri pale mbele akasema "wapendwa ndugu zangu hebu fikiria jinsi yetu alivyoteswa msalabani kwa ajili yetu binadamu....hebu PIGA PICHA AKILINI MWAKO yesu anavyocharazwa viboko, kudhihakiwa na kusurubiwa pale msalabani......". Sasa hapo mtu unajikuta unajenga akilini mwako taswira ya yule yule muigizaji Brian Deacon akicharazwa viboko, kudhihakiwa na kutundikwa msalabani!
Labda wenzangu mnisaidie kwa kunielewesha mnapokuwa katika maombi binafsi au na watu wengine unapojenga picha ya yesu kichwani mwako, akikunyooshea mkono wake au akisurubiwa kwa ajili yako picha inayokuja akilini mwako siyo hii ya huyu mzungu mwenye nywele ndefu aliye katika movie au kwenye vitabu vingi vya neno la Mungu kwa wakristo?
Kuna kinyago kimoja pale Arusha wamekipaka rangi nyeupe wanasems eti ni Bikira MariaHuyo mzungu aletwe na polisi hapa Mtwara atuombe msamaha maana tunamuabudu,tumeweka picha yeke na shingoni tumemvaa
Kipige picha utupie humu.Kuna kinyago kimoja pale Arusha wamekipaka rangi nyeupe wanasems eti ni Bikira Maria