Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
ya diamond haiwezekanikwa iyo unaweza kuweka picha ya Diamond ukaiabudu kama kiwakilishi cha Yesu?
Ni kanisa gani wanaabudu hiyo picha?Hili ni jukwaa la elimu si kashfa ndio maana watu wamo humu,kashfa ni fb na insta kwa watoto.
Great thinkers ndio maana wanachambua huku.
Kama hupendi critisims rudi fb kwa watoto
hata mi nawashangaa wameng'ang'anaa,hiyo picha ni kiwakilishi tu,lakini haina maana kuwa ndiye mwokozi wetu yesu kristoHivi mbona mnahangaika na imani za wengine zinawahusu nini asubuhi yote hii mtu anaanzisha uzi wa kuukashifu Ukristo ni kanisa gani ambalo ukienda wanaabudu hiyo picha.?
Mkuu nadhani haujapata concept iliyo katika post yangu. Jipe muda uisome upya.Kuiwaza hiyo picha akilini mwako inaathiri nini? Hivi hujui kupitia hiyo filamu watu wengi walimkabidhi Mungu maisha yao.
bikra maria ni mama wa mungu mkuu na mwokozi wetu yesu kristo alie haiKuna kinyago kimoja pale Arusha wamekipaka rangi nyeupe wanasems eti ni Bikira Maria
bikra maria ni mama wa mungu mkuu na mwokozi wetu yesu kristo alie haiKuna kinyago kimoja pale Arusha wamekipaka rangi nyeupe wanasems eti ni Bikira Maria
Maria ni mama wa Yesu, si mama wa Mungubikra maria ni mama wa mungu mkuu na mwokozi wetu yesu kristo alie hai
Ebana Lau Ungekuwa Unapafahamu Mbeya Kuna Vijumba na Picha na Sanamu Kubwa sana la uyu anaedaiwa kuwa Yesu na Bikra Maria Hasa katka makanisa ya Wakatoliki huwa watu wanaenda pale wanapiga magoti wanaomba mbele ya Sanamu na Picha za watu hao na kutoa Sadaka haya nmeyaona kwa macho yangu vilevile Dar maeneo ya Ubungo External na Makuburi na Ubungo kibangu kwenye makanisa makubwa ya kikatoliki yapo haya Mungu ndie Shaidi katika hili ninalolisemaHivi mbona mnahangaika na imani za wengine zinawahusu nini asubuhi yote hii mtu anaanzisha uzi wa kuukashifu Ukristo ni kanisa gani ambalo ukienda wanaabudu hiyo picha.?
wewe jamaa umechelewa kweli sasa unamfahamisha nani asiyejua?Lengo Langu sio kutoleana Maneno makali Bali ni kuwafahamisha wale waliokuwa hawajui wafahamu ukweli kisha wachukue hatua stahiki juu ya Iman hiyo!!!
diamond na huyo mzungu kuna tofauti ganii?ya diamond haiwezekani
Muwe mnauliza kwanza sio kujifanya ujuaji.....Kuna kinyago kimoja pale Arusha wamekipaka rangi nyeupe wanasems eti ni Bikira Maria
yesu ni munguMaria ni mama wa Yesu, si mama wa Mungu