Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

Hili ni jukwaa la elimu si kashfa ndio maana watu wamo humu,kashfa ni fb na insta kwa watoto.

Great thinkers ndio maana wanachambua huku.
Kama hupendi critisims rudi fb kwa watoto
 
Hili ni jukwaa la elimu si kashfa ndio maana watu wamo humu,kashfa ni fb na insta kwa watoto.

Great thinkers ndio maana wanachambua huku.
Kama hupendi critisims rudi fb kwa watoto
Ni kanisa gani wanaabudu hiyo picha?
 
Hivi mbona mnahangaika na imani za wengine zinawahusu nini asubuhi yote hii mtu anaanzisha uzi wa kuukashifu Ukristo ni kanisa gani ambalo ukienda wanaabudu hiyo picha.?
hata mi nawashangaa wameng'ang'anaa,hiyo picha ni kiwakilishi tu,lakini haina maana kuwa ndiye mwokozi wetu yesu kristo
 
Boko haramu wakiona hii post wanafurahi kweli make kazi yao ni kupingana na ukiristo na sio kueneza dini yao.
 
Jf haihitaji kutaja imani ya mtu.
Yapo ,waweza jifanyia utafiti wako.

Naheshimu imani ya kila mtu n ni haki ya kikatiba ,well ila kiroho usiabudu,kuweka wala kudhani sanamu yeyote,iwe ya kuchora ama kupiga picha,Mungu ana wivu unapoabudu ama sujudia sanamu ama miungu wengine.
 
Kuiwaza hiyo picha akilini mwako inaathiri nini? Hivi hujui kupitia hiyo filamu watu wengi walimkabidhi Mungu maisha yao.
Mkuu nadhani haujapata concept iliyo katika post yangu. Jipe muda uisome upya.
 
Na hiyo filamu aliyoigiza kama 'Yesu' aliigiza mwaka gani?
 
Hata kama hayakuhusu wewe si fuata dini yako ya Boko haram, IS, ISIL, ISIS, Alkaida, alshabab. etc... na wale ....... brotherhood
 
Hivi mbona mnahangaika na imani za wengine zinawahusu nini asubuhi yote hii mtu anaanzisha uzi wa kuukashifu Ukristo ni kanisa gani ambalo ukienda wanaabudu hiyo picha.?
Ebana Lau Ungekuwa Unapafahamu Mbeya Kuna Vijumba na Picha na Sanamu Kubwa sana la uyu anaedaiwa kuwa Yesu na Bikra Maria Hasa katka makanisa ya Wakatoliki huwa watu wanaenda pale wanapiga magoti wanaomba mbele ya Sanamu na Picha za watu hao na kutoa Sadaka haya nmeyaona kwa macho yangu vilevile Dar maeneo ya Ubungo External na Makuburi na Ubungo kibangu kwenye makanisa makubwa ya kikatoliki yapo haya Mungu ndie Shaidi katika hili ninalolisema
 
Lengo Langu sio kutoleana Maneno makali Bali ni kuwafahamisha wale waliokuwa hawajui wafahamu ukweli kisha wachukue hatua stahiki juu ya Iman hiyo!!!
wewe jamaa umechelewa kweli sasa unamfahamisha nani asiyejua?
 
Al Sayafiw umenena vema ila usingetaja jina la hiyo dini.

Lakini umesema ukweli.
Kumbe tunamuombaga mzungu ,tena Muingeeeza !

No no no!
 
ila kiukweli mungu wetu ni mwenye wivu sana na aliwaambia wana-israel kuwa hataki vinyago wala sanamu yoyote ile wala picha.
misalaba,masanamu ya bikira la maria ni chukizo mbele ya mungu
roman catholic na kkkt achane haya mambo ya kuabudu sanamu.
halafu na wewe mleta mada umeleta hii mada kiushabiki sana, wakati imeshawahi kujadiliwa sana humu na ikaleta mitafaruku.
na lengo lako kuileta humu ni kuona mitafaruku na kukashifu,
 
Back
Top Bottom