Huyu ndiye Mwanamke mzuri kuliko wote E.Afrika

Sitaki kuuita ushamba ila usiongelee uzuri wa MTU kwa picha alijaza filters na katumia camera nzuri. Muone MTU live ndo utukuze uumbaji wake. Ukimuona Zari na Wolper utamsifia Wolper zaidi
 
Mlie taimingi mida ya asubuhi anapoamka akiwa kwenye natural visual... I am sure utakuja kufuta uzi wako mara moja.

Huyo na make-ups zake hamfikii uzuri demu wangu hata nusu!

-Kaveli-
 
Aje bila make up!
 
Ngoja nisiharibu hali ya hewa hapa
 
Mi namzidi sema tuu nimepauka kwa kukosa chapaa
 
Uzuri wa kweli uko ndani wa nje mnajiongopea, muuza sura usikose amani makunyazi yakikutokea
 
Hv ashawahi ingia leba huyu? Inawezekana bado lakin alovochoka.... akiwa na watoto wawili hatunaye tena
Una hakika, hajawahi? Unaweza kuta ana watoto wawili wakubwa tu
 
Huyo bungeni hakanyagi sababu sio yeye halisi.
 
Kwangua maunga unga hayo uson ili tuone natural beauty
Amana ya mchina (kwa sauti ya sheh kipozeo)
 
Ufafanuzi wako ni tofauti na kichwa cha habari; hata hivyo kama mwenyewe umeridhika basi haya maana "beauty is in the eyes of the beholder"

[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…