Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana watoto wangapi?Angalia hapa Binti PK halaf hajapaka makeup hapa ni natural....siku nyingine uache kufananisha upuuzi na vitu vya maanaView attachment 870569
Hv ashawahi ingia leba huyu? Inawezekana bado lakin alovochoka.... akiwa na watoto wawili hatunaye tenaWeee jamaaaa weeeView attachment 870587
Ha ha ha unaomba default mode.Weka picha ambayo haina make up wala haijafanyiwa filtering has a akiwa kaamka asubuhi hajanawa
Aje bila make up!Huyu mama kimuonekano mtu akikuambia ana watoto watano unabisha.... anaonekana bado "binti mbichi" kabisa... Zari the bosslady ukimfananisha na mastaa wetu wa bongo ambao wana mtoto mmoja, wawili na wengine hawana hata wa kusingiziwa, utagundua kuwa yeye ndiye balaa zaidi... kawafunika wote... hebu pepesa macho hapa ujioneeView attachment 870038View attachment 870040
Ngoja nisiharibu hali ya hewa hapaHuyu mama kimuonekano mtu akikuambia ana watoto watano unabisha.... anaonekana bado "binti mbichi" kabisa... Zari the bosslady ukimfananisha na mastaa wetu wa bongo ambao wana mtoto mmoja, wawili na wengine hawana hata wa kusingiziwa, utagundua kuwa yeye ndiye balaa zaidi... kawafunika wote... hebu pepesa macho hapa ujioneeView attachment 870038View attachment 870040
Una hakika, hajawahi? Unaweza kuta ana watoto wawili wakubwa tuHv ashawahi ingia leba huyu? Inawezekana bado lakin alovochoka.... akiwa na watoto wawili hatunaye tena
Amana ya mchina (kwa sauti ya sheh kipozeo)Huyu mama kimuonekano mtu akikuambia ana watoto watano unabisha.... anaonekana bado "binti mbichi" kabisa... Zari the bosslady ukimfananisha na mastaa wetu wa bongo ambao wana mtoto mmoja, wawili na wengine hawana hata wa kusingiziwa, utagundua kuwa yeye ndiye balaa zaidi... kawafunika wote... hebu pepesa macho hapa ujioneeView attachment 870038View attachment 870040
Ufafanuzi wako ni tofauti na kichwa cha habari; hata hivyo kama mwenyewe umeridhika basi haya maana "beauty is in the eyes of the beholder"
Njoo pm nina zawad yako toka kijijiniUzuri wa dukani...crap!