Huyu ndiye Mwanamke mzuri kuliko wote E.Afrika

Sitaki kuuita ushamba ila usiongelee uzuri wa MTU kwa picha alijaza filters na katumia camera nzuri. Muone MTU live ndo utukuze uumbaji wake. Ukimuona Zari na Wolper utamsifia Wolper zaidi
 
Mlie taimingi mida ya asubuhi anapoamka akiwa kwenye natural visual... I am sure utakuja kufuta uzi wako mara moja.

Huyo na make-ups zake hamfikii uzuri demu wangu hata nusu!

-Kaveli-
 
Huyu mama kimuonekano mtu akikuambia ana watoto watano unabisha.... anaonekana bado "binti mbichi" kabisa... Zari the bosslady ukimfananisha na mastaa wetu wa bongo ambao wana mtoto mmoja, wawili na wengine hawana hata wa kusingiziwa, utagundua kuwa yeye ndiye balaa zaidi... kawafunika wote... hebu pepesa macho hapa ujioneeView attachment 870038View attachment 870040
Aje bila make up!
 
Hapa vipi?
FB_IMG_1537371830978.jpg
 
Huyu mama kimuonekano mtu akikuambia ana watoto watano unabisha.... anaonekana bado "binti mbichi" kabisa... Zari the bosslady ukimfananisha na mastaa wetu wa bongo ambao wana mtoto mmoja, wawili na wengine hawana hata wa kusingiziwa, utagundua kuwa yeye ndiye balaa zaidi... kawafunika wote... hebu pepesa macho hapa ujioneeView attachment 870038View attachment 870040
Ngoja nisiharibu hali ya hewa hapa
 
Mi namzidi sema tuu nimepauka kwa kukosa chapaa
 
Uzuri wa kweli uko ndani wa nje mnajiongopea, muuza sura usikose amani makunyazi yakikutokea
 
Kwangua maunga unga hayo uson ili tuone natural beauty
Huyu mama kimuonekano mtu akikuambia ana watoto watano unabisha.... anaonekana bado "binti mbichi" kabisa... Zari the bosslady ukimfananisha na mastaa wetu wa bongo ambao wana mtoto mmoja, wawili na wengine hawana hata wa kusingiziwa, utagundua kuwa yeye ndiye balaa zaidi... kawafunika wote... hebu pepesa macho hapa ujioneeView attachment 870038View attachment 870040
Amana ya mchina (kwa sauti ya sheh kipozeo)
Screenshot_20180920-193847.jpeg
Screenshot_20180920-193835.jpeg
 
Back
Top Bottom