Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Haya nakujaaaaIts ok. Si tatizo kubwa la msingi ni kupendana na pia kuwa smart. Ntakufundisha na kusema Of Course, Yeaah n.k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya nakujaaaaIts ok. Si tatizo kubwa la msingi ni kupendana na pia kuwa smart. Ntakufundisha na kusema Of Course, Yeaah n.k
Hahaa Sophy,, huyo ndo anaemtaka mamaaNyama mchome mishkaki[emoji23][emoji23][emoji23]na Kiingereza mnatak kufungua hotel ya kitalii
[emoji23][emoji23][emoji23] pm itakua imejaaKomeo ,,,
Ameshatekwa tayari...wadada wa siku hizi wanatumia vizuri fursa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi siyo wewe uliyesema unasubiri kiinua mgongo cha baba
Alijua hatufuatilii ...ha ha haa,we are so active[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nisaidie kumuomba apunguze kigezo cha umri kidogoKutojua kingereza kumenikosesha mubebe daah
Komeo Lachuma punguza umri, watu wazame pm, wamekua interestedMie nisaidie kumuomba apunguze kigezo cha umri kidogo
Kuhusu nyama nyama naweza kuzitafuta
🤣🤣🤣🤣🤣Mie nisaidie kumuomba apunguze kigezo cha umri kidogo
Kuhusu nyama nyama naweza kuzitafuta
🤣🤣🤣🤣🤣 Wananichokoza tu hao.Komeo Lachuma punguza umri, watu wazame pm, wamekua interested
Hivi siyo wewe uliyesema unasubiri kiinua mgongo cha baba
Ha ha haa,haya bhanaNdo mimi jamani. Yaani anakaribia kupokea... Watu watanikoma mjini hapa.