Huyu ndiye mwanzilishi wa chama kipya cha Umoja Party (UP)

Anajaribu kutembelea nyota ya Maalimu Seif (R.I.P )
 
Ukimwangalia kwenye picha sio?
 
Afisa kipenyo huyo...
 
Naomba kuwa mkweli mbinu hizi ni za karine ya 16 haina tija wala mvuto kwa nchi. Nina hofu kubwa kwa kina mama wengi wanamlilia aliyebatizwa kuwa ni gaidi. Kwangu mimi simuiti gaidi na ninaamini siyo gaidi.

Ifahamike kuwa kati ya wanasiasa waupinzani wangwana na wazalendo Mbowe ni mungwana na ni mzalendo. Mimi siyo mhasibu lakini ningependa kusema kuwa kesi ya Mbowe ni "balance carried foward" kutoka hesabu za namba 5 hadi namba 6.

Tangu Mbowe ashitakiwe amepata wahurumiaji wengi. Tafsiri yake Mbowe ni shuja siyo gaidi. Ikiwezekana wabobezi wa masuala ya siasa, uongozi na uchumi wafanye tathimini kuendelea na kutoendelea na kesi ya Mbowe. Kuendelea watueleze lipi bora!.

Bahati mbaya yanayoendelea ni sehemu ya historia ya utawala flani unaandikwa. Historia hajawahi kudanganya. Kweli itaandikwa na kuhifadhiwa. Ni bora kuufia ukweli kuliko uongo mtakatifu.

Uzuri wa siasa chama cha siasa kikichukiwa hamna namna. Inabidi kife ili kizaliwe mara ya pili. Kufa kwa chama cha siasa maarufu ni faida kwa taifa. Pale kinapo kufa inafanyika hivyo kwa maslahi mapana ya taifa. Taifa ni dude ni dubwasha kubwa kuliko sisi wote.

Tusiingize chuki kwenye siasa za ushindani. Iko siku tahesabiwa makosa ya maovu tunayo tenda. Kikubwa katika hili yupo Mungu anayesema na wenye haki. MUNGU TUNAKUOMBA TUSIMAME NA KUISIMAMIA
 
Kuongezeka kwa vyama kunapunguza kitu gani Chadema?
 
Thissss at work
 
Njaa mbaya sana
 
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kuanzisha chama.

Ni imami yangu kuwa raid ajae atakuwa ni "Mnachinga".

Naamini tukijiorganize vzr, sisi wamachinga ni jeshi kubwa lenye mchanganyiko mzuri wa kila weledi.

Wamachinga waliojuajuri ni zaidi ya mil 8 hadi sasa.

Wanasiasa was vyama vyote kwasasa wanajipambanua kuwasemea wamachinga ili wawavute.

Mimi naamini watakaoweza kuwatetea na kuwalinda wamachinga ni wamachinga wenyewe, kwa kuchukua nafasi hizi za kufanya maamuzi.

Kama kuna mmachinga humu na anakubaliana na hoja zangu tujuane na tujikusanye kwa ajili kufanya maamuzi haya magumu.
 

Mkuu ninakusoma kwani wewe ni moto mara moja. Hurembi wala hukopeshi. Kuleta mabadiliko si lelemama.

Kada uliyoiangazia ndiyo iliyofaulu kuleta mabadiliko kulikoshindikana. Kule ambako shoka lilivunjika lakini mpini ukabakia pale pale 😁😁.

Hao ndiyo walioleta Mapinduzi duniani. Ongelea Russia, Ufaransa, China, Zanzibar na sehemu lukuki. The Lumpen Proletariats.

Lumpen Proletariat, (German: “rabble proletariat”), according to Karl Marx in The Communist Manifesto, the lowest stratum of the industrial working class, including also such undesirables as tramps and criminals.



Hao ndiyo hiyo mitu. CCM wanawaogopa kuliko ukoma. Juhudi zote zinafanyika kuhakikisha hawafikii kwenye mawazo kama yako.

Ulipo ni mwanzo mzuri.

Hapa ndipo wengine wanapopotea maboya.

Ninaunga mkono hoja:

"Kama kuna mmachinga humu na anakubaliana na hoja zako tujuane na tujikusanye kwa ajili kufanya maamuzi haya magumu."
 
Ndugu yake na ACT na ni mtoto wa nne wa ccm.
 
Wanawadanganya wajinga wenzao tu lkn kwa watu makini hatudanganyiki na huo upotolo wao
 
Hivi nikianzisha chama naweza pata marupurupu gani hata kama sina mgombea aliyeshinda hata mmoja nchi nzima?
Ukianzisha chama cha upinzani wa kweli basi zawadi utakayo ipata ni .

1:Kuhakikisha kuwa unakuwa unashinda vituo mbali mbali vya polis.

2:utawajua sana mahakimu wa mahakama zetu.

3:Utaitwa majina ya ajabu na la ugaidi likwepo.
 
Nakuunga mkono kwa 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…