Huyu ndiye mwanzilishi wa chama kipya cha Umoja Party (UP)

Huyu ndiye mwanzilishi wa chama kipya cha Umoja Party (UP)

Naona dalili ya chama chenye sera makini na chenye uwezo wa kujenga hoja karibu sana muda kinaweza kuwa chama kikuu cha upinzani!
Nimeamini kuwa kuzaa siyo kupata.
Wazee wako naona machozi hayawakauki kila wanapo kuona.
 
Ukabila na ukanda wameufanya wapi?
Au umekariroshwa kama tahaira na wewe unatapika hapa.
Tatizo hamtaki kuambiwa ukweliii. Sasa mtu akipewa uhalisia wa kikundi chako anakichukia fasta
 
Umaarufu unasaidia nini ndani ya jamii?
Umaarufu unasaidia wengi tu kupata mkate wa kila siku. Angalia wasemaji wa taasisi na watu wanaotumika kwenye matangazo ya kibiashara.
 
Hivi nikianzisha chama naweza pata marupurupu gani hata kama sina mgombea aliyeshinda hata mmoja nchi nzima?
Ikifika wakati wa uchaguzi kama vyama makini vikisusia hapo ndiyo unavuta mpunga ili kuhalalisha ujambazi wa CCM kuwa uchaguzi ulikuwa wa vyama vingi.
 
Kashoneni mashati hizo bendera zenu muda si mrefu mtabaki historia kama Nccr mageuzi!
NCCR ni chama mtoto wa ccm.
Yaani bila aibu unailinganisha nccr mtoto wa ccm na CDM ?
Ukapimwe mkojo wewe siyo bureeee
 
Tatizo hamtaki kuambiwa ukweliii. Sasa mtu akipewa uhalisia wa kikundi chako anakichukia fasta
we ni mwanaume mzima kabisa au unapigwa?

Sema huo ukabila usizunguke kama unatafuta bwana.
 
Aiseeh! Hii nchi hii, inaongozwa na chama kisichojiamini, Pamoja na kuwasweka ndani na kuwaziba midomo wapinzani bado mna mbinu zile zile za karne ya 19 ya kulundika Vyama watoto!

Huyo jamaa huyo kwa kumuangalia TU hayuko smart kisiasa, yupo yupo TU Kama mpiga dili kwa mgongo wa chama huku akibebelewa kwenye mbelezo ya CCM!
Vipi kuhusu hoja zilizopelekea kuanzisha CCU?
 
Uzi huu utaharibiwa na wafuasi wa cdm. Watakishambulia hiki Chama utadhani labda ndio mpinzani wao.
 
Back
Top Bottom