Nimeamini kuwa kuzaa siyo kupata.Naona dalili ya chama chenye sera makini na chenye uwezo wa kujenga hoja karibu sana muda kinaweza kuwa chama kikuu cha upinzani!
Upo sahihiChama kipya au extension ya CCM?
Sasa we we mhaya mmoja tena pandikizi ndo utaleta ushindi wa hicho kikundi chakooMe mbona nakipenda nkiwa Tabora na kabila langu mhaya!!!? Na nyie tatizo lenu ccm ni Wiz
Tatizo hamtaki kuambiwa ukweliii. Sasa mtu akipewa uhalisia wa kikundi chako anakichukia fastaUkabila na ukanda wameufanya wapi?
Au umekariroshwa kama tahaira na wewe unatapika hapa.
Umaarufu unasaidia wengi tu kupata mkate wa kila siku. Angalia wasemaji wa taasisi na watu wanaotumika kwenye matangazo ya kibiashara.Umaarufu unasaidia nini ndani ya jamii?
Hao ni wasemaji siyo umaarufu wa kibwegeUmaarufu unasaidia wengi tu kupata mkate wa kila siku. Angalia wasemaji wa taasisi na watu wanaotumika kwenye matangazo ya kibiashara.
Alitegemea Magufuli angempa cheo. Amejua Sasa kwamba CCM haijui.Aliamua mwenyewe kujizika kisiasa
Ikifika wakati wa uchaguzi kama vyama makini vikisusia hapo ndiyo unavuta mpunga ili kuhalalisha ujambazi wa CCM kuwa uchaguzi ulikuwa wa vyama vingi.Hivi nikianzisha chama naweza pata marupurupu gani hata kama sina mgombea aliyeshinda hata mmoja nchi nzima?
Kashoneni mashati hizo bendera zenu muda si mrefu mtabaki historia kama Nccr mageuzi!Nimeamini kuwa kuzaa siyo kupata.
Wazee wako naona machozi hayawakauki kila wanapo kuona.
Act ilianza hivi hivi!aaaaaaH,
mkuu,
ccema Bi.
NCCR ni chama mtoto wa ccm.Kashoneni mashati hizo bendera zenu muda si mrefu mtabaki historia kama Nccr mageuzi!
we ni mwanaume mzima kabisa au unapigwa?Tatizo hamtaki kuambiwa ukweliii. Sasa mtu akipewa uhalisia wa kikundi chako anakichukia fasta
Vipi kuhusu hoja zilizopelekea kuanzisha CCU?Aiseeh! Hii nchi hii, inaongozwa na chama kisichojiamini, Pamoja na kuwasweka ndani na kuwaziba midomo wapinzani bado mna mbinu zile zile za karne ya 19 ya kulundika Vyama watoto!
Huyo jamaa huyo kwa kumuangalia TU hayuko smart kisiasa, yupo yupo TU Kama mpiga dili kwa mgongo wa chama huku akibebelewa kwenye mbelezo ya CCM!
Nasikia watu kama hao ulaya ni dili maana wana tumiwa kuwatishia watoto waache kulia
Kuharibu kuraVipi kuhusu hoja zilizopelekea kuanzisha CCU?
Angalia kwenyekikundi chakoowe ni mwanaume mzima kabisa au unapigwa?
Sema huo ukabila usizunguke kama unatafuta bwana.