Huyu ndiye mwanzilishi wa chama kipya cha Umoja Party (UP)

Naona dalili ya chama chenye sera makini na chenye uwezo wa kujenga hoja karibu sana muda kinaweza kuwa chama kikuu cha upinzani!
Tuliaminishwa watu wenye vipara huwa na busara na utajiri ndani yake,lkn kwa kupitia wewe naendelea kuamini kuwa akili ni nywele
 
Tuliaminishwa watu wenye vipara huwa na busara na utajiri ndani yake,lkn kwa kupitia wewe naendelea kuamini kuwa akili ni nywele
Usipende kusikia vitu vizuri jifunze na kusikia mabaya!
 
NCCR ni chama mtoto wa ccm.
Yaani bila aibu unailinganisha nccr mtoto wa ccm na CDM ?
Ukapimwe mkojo wewe siyo bureeee
Marando,dk Ringo tenga labda tatizo ni Lyatonga Mrema hata Ccm c si ilimchukua Lowassa!
 
Huyu Shushushu amenzisha Chama cha Mashushushu😆🤣
 
 
Huyu ni mwanzilishi kichaa. Malengo aliyonayo tayari yapo kwenye vyama vingine.
 
Yaani Umoja Party inaitesa serikali kwa sababu imebeba legacy ya Dkt Magufuli ambayo wao wanaikataa na kumdhihaki Dkt Magufuli
 
Kadawi Limbu alianzisha CCK , baadaye akaanzisha ACT lakini mwishowe akahamia ccm

Sio akahamia ccm, bali akarudi ccm, maana hakuwahi kuondoka bali alikuwa anatumika kwa shughuli maalum. Hiki chama nilianza kukisikia toka enzi za Magufuli, kulikuwa kianzishwe kwa lengo la kuipiku CDM baada ya Magufuli kutokuikubali ACT kwa ajili ya Zito. Chenyewe kitakuwa kinafanya upinzani unaotakiwa na CCM, ndio maana unasikia wanasema watafanya siasa za majadiliano!
 
Ni Matangulizi tuu, wenye njia wapo kutoka kwenye vyama vyote hasa Ccm na chadema walipkubaliana na mwelekeo wa Mwamba, na wengi wao ni vigogo haswaaa na wasomi wandamizi kutoka serikalini na vijana wengi walioko mavyuoni walimkubali mwamba wa Africa
 
chama ni kimoja tu kwa Tanzania Bara - Chama cha Demokrasia. na kule Zanziba - Chama cha Wananchi.

mengine yote ni mavi ya ccm
 
Huyo jamaa ukimuangalia unaona tumbo la njaa na ubongo uliooza kwa njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…