Huyu ndiye Mwigulu Nchemba

nilikuwa namchukia huyu MWIGULU ila nimejajua ni nguvu gani iliyo nyuma yake kwa hiyo hazuiliki
 
Mwigulu wa mbinguni mimi namkubali sana
 

Jamaa unajali tumbo lako tu. Kila mtu anajua ni wewe mwenyewe😂😂
 
We umeleta masiasa mengi katika Uzi wako but elewa hakuna Mwenye hati milk
na jimbo huu mfumo lazima uwe wazi.
Tenda wema nenda zako usingoje shukrni
Kwani yeye ameuba ilo jimbo acheni wananchi wafanye mahamuzi basi ,hata
Mimi ningekua na Chama nimg'oa huyo
Mwigulu
 
Kafute yale maadishi kwenye madaraja na majabali maeneo mbalimbali Tanzania
 
Wewe ndo ulikuwa katika kikosi kazi cha kuchora maandishi kwenye mawe njiani
 
Kikubwa maarbino wetu wabaki salama tu.
 
Naona ndg yng mkondya from mbozi kaamua kuwa mpiga debe wa mwingulu..mnyamwaga
 
Mimi binafsi namkubali sana TAL kama mtu ambaye ni sahihi kwa mwaka 2020 kuaminika kupeperusha bendera ya kambi ya upinzani, vile ambavo kwa mwaka 2025 anavyostahili Zitto Kabwe.

Lakini kwa chama tawala, kwa mwaka 2020 ama 2025 nawaona tu Bernard Membe, Mwigulu Nchemba ama January Makamba kuwa ndiyo pekee wenye sifa za kuwa "presidential material" kutoka upande wa Tanzania Bara
 
PhD yake ni kashifa. Alifanyiwa na Adolph Mkenda, kisha naye akamwezesha Mkenda kuukwaa naibu Katibu Kuu, Fedha enzi za Kikwete.
 
Alafu itusaidie nini sisi?
 
Haya nenda kachukue buku zako 7 lumumba
 
Mkuu ume mquote kimakosa maana siyo aliye pandisha uzi husika
Unaudhalilisha ukoo wa Mnkondya kwa kuja kumsifia mafia aliyejaa damu zisizo na hatia mikononi mwake. Hivi umekosa kazi ya kufanya au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…