Itakuwa hivi:
January, nape, ridhiwan and the likes watautaka urais, hawa ni watoto wa wazee wa mjini.
Sasa muafaka utafikiwa kwa makubaliano ya tukose wote ila tumsimike mtu tunayemwamini ila sio mtoto wetu wooote kwa pamoja.
Hapo watakubaliana wamsimike MWIGULU kwan Wana uhakika hatawaletea ushamba wa MAGUFULI
MWIGULU anaaminika sana na king makers, watoto wa mjini na wazee wa mjini.
Sasa wewe nitajie ni nan mwingine wazee wa mjini including Samia watakubali kumpa urais baada ya funzo kutoka kwa Magufuli?