Mwigulu Nchemba ndio Rais 2015 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana ni Mwadilifu, Mzalendo na Mwajibikaji katika Uongozi.
Uzalendo sio kuzungumzia escrow tu!!! Kama watu wameshazungumza yeye nae azungumze ile iweje!!! Tusubiri report ndio utajua atazungumza au laaa!!! Sio kupigapiga makelele ili tu na wewe uonekane unajua issue ya escrow! !!Kwa maoni yangu walau huyu Mwigulu anafaa kuingia katika kinyang'anyiro cha urais ndani ya CCM na siyo January Makamba. Tukiwapima kwa hoja zao na matendo yao ndani na nje ya bunge tutaona kuwa katika CCM kuna Mwigulu na Deo Filikunjombe wanafaa kuingia katika mbio za urais. Itakuwa vema kama watajitokeza wanachama wengine ambao hatuwajui bado tuweze kufanya uchaguzi. Upinzani unakatisha tamaa kwa kunadi Dr Slaa ambaye umri umeenda wakati tunahitaji kijana mwenye mawazo mapya na namna mpya ya kufanya kazi.
Haki ya kuwania sawa lakini maelezo ni mafupi.Hapa ni ISSUES sio ngonjela.ndio mtihani wa mwanzo.Kufaulu swali mmoja sio kwamba umefahulu paper nzima au mtihani mzima.Kwa mwendo huu ni ngumu.
Uzalendo sio kuzungumzia escrow tu!!! Kama watu wameshazungumza yeye nae azungumze ile iweje!!! Tusubiri report ndio utajua atazungumza au laaa!!! Sio kupigapiga makelele ili tu na wewe uonekane unajua issue ya escrow! !!
Kuna baadhi ya wabunge hata hio issue ya escrow hawaijui but mikelele tu na umaarufu wa kirahisirahisi
Mwigulu si ndo alikuja na bomu arusha?
Bomu lakichina nakuuwa watu wengi soweto?
Ahsante kwa Ushauri
Lakini Mwigulu ni kiongozi makini mwenye maono makubwa kama Kijana View attachment 202051
Yeye ana unasaba na Mkuu wa Kaya? "Chagueni mwenye umri unaolingana lingana na mimi nilipoingia madarakani....JK" .. na 'Mwana wa Muhunzi asiposana hufukuta'...Mimi napita tu.Nabii mmoja amewatangazia waumini wake latika Kanisa lililopo Swaswa Dodoma kuwa rais ajae ni Mwigulu Nchemba aidha inasemekama vigogo mbalimbali wameanza kusali kwa nabii huyo.
Nabii mmoja amewatangazia waumini wake latika Kanisa lililopo Swaswa Dodoma kuwa rais ajae ni Mwigulu Nchemba aidha inasemekama vigogo mbalimbali wameanza kusali kwa nabii huyo.
Wacheni uvivu wa kuomba kwa Mungu, unabii hauko hivyo! Manabii wa kale walikuwa ni waombaji wazuri sana,Biblia inasema zamani za mfalme Ahabu nabii Eliya alisema "kama Bwana aishivyo haitanyesha mvua ila kwa neno langu" naye akaomba kwa bidii na mvua haikunyesha. Ulipofika wakati akaomba kwa bidii mvua ikanyesha. Sasa mjue kuwa unabii unawapasa watu wanaojua kuomba kweli kweli na siyo porojo na ushabiki wa kisiasa.Nabii mmoja amewatangazia waumini wake katika Kanisa lililopo Swaswa Dodoma kuwa rais ajae ni Mwigulu Nchemba aidha inasemekama vigogo mbalimbali wameanza kusali kwa nabii huyo.