Huyu ndiye Naibu Waziri wa Mipango na uwekezaji!

Huyu ndiye Naibu Waziri wa Mipango na uwekezaji!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Je huyu ataaminika na wawekezaji?


1717700405220.jpeg


PIA SOMA
- Breaking News: - Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu
 
Je huyu ataaminika na wawekezaji?

View: https://m.youtube.com/watch?v=7ijFX5fjTkw

0.65684900%201485966311.png

Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Maswa Mashariki
Contributions
39
Questions
59
Answers
88
Commettees
2

General Information​

Hakuna / None taarifa za elimu, uzoefu n.k
Source : Bunge Polis

Stanslaus Haroon Nyongo ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Maswa Mashariki kwa miaka 20152020.
 
Amesema Ukweli mtupu. Hivi jana ama Juzi tu kamati moja ya Bunge la Marekani likiongozwa na wawakilishi wa chama cha Republicans(wawekezaji)wamesema hayo hayo.

Tatizo hapa ni kwamba amemtaja Magufuli? Sasa tulipokuwa tunasema Wazungu walikula njama za kumuangamiza Hayat Rais tulikuwa tunakosea? La hasha.

Ati "ataaminika na wawekezaji"

Kwa lugha hiyo ina maana kwamba Je, ataaminika na Wazungu?

Zingatia: Wawekezaji ni Investors. Investor haina Rangi, sasa kwanini asiaminike na Waafrika, ama Wahindi ama Waarabu?

Huu uchawa kwa Wazungu. Kha.
 
Back
Top Bottom