Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,052
- 2,866
Investors ukiwapa uchochoro hawana no
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu angalia umeandika nini?!Kama vilaza kama kina Lema tunacumiliana nao, kwa nini hao wengine rusivumiliane nao?
Hangaya anawahadaa Sukuma gang
Hiyo nafasi inamfaa yule Deo Mwinyika former vice president wa Acacia na pia ata Dr Charles Kimei!!Hivi hata Prof Muhongo hakumuona?
How comes tunapata watu wa namna hii kwa kweli?
Hiyo meza amekaa huyo jamaa jirani itapata tabu sana kwa kubondwabondwa.Halafu amekaa na kiongozi wa vilaza wanasapotiana.
Haya nimerekebisha, si unajua tena hizi simu zetu vimeo! Asante kwa kunistua; lakini ungesoma katikati ya mistari tu na wewe 😅Hebu angalia umeandika nini?!
Acha hayo ya "wawekezaji; mtu mwenye akili za namna hii utamteuwa akafanye nini serikalini?Je huyu ataaminika na wawekezaji?
Dharau KUBWA Sana kwa TaifaHao Vilaza ndio ati Viongozi wetu.🤔
Sasa kwa nini anazungumza mambo ya ajabu ajabu mithili ya hadithi za Abunuwasi kuhusu madawa na biashara ya madawa?Huyo Nyongo inaonesha wengi hamumfahamu. Kabla ya siasa amefanya kazi sana kwenye pharmaceutical industry kimataifa. Mambo ya madawa na biashara za madawa anazijua sana.
Kwani hata wewe hujiulizi Aids tangu 1980s haina chanjo, halafu covid 19 imeingia na chanjo imepatikana? Kwani ni uongo hizo chanjo na madawa kiujumla ni biashara kubwa za watu?Sasa kwa nini anazungumza mambo ya ajabu ajabu mithili ya hadithi za Abunuwasi kuhusu madawa na biashara ya madawa?
Aliyekuambia bongo kuna vetting alikudanyaHivi vetting teams ziko active kweli? How do we even get this type of people kwenye hizi nafasi?
Nitakufundisha na wewe ukamfundishe huyo Nyongo aliyebobea biashara ya madawa sababu za ugumu wa kupata chanjo ya HIV, ni sayansi ngumu kidogo ila nitajitahidi kutumia maelezo mepesi ambayo hata ngumbaru anaweza kuelewaKwani hata wewe hujiulizi Aids tangu 1980s haina chanjo, halafu covid 19 imeingia na chanjo imepatikana? Kwani ni uongo hizo chanjo na madawa kiujumla ni biashara kubwa za watu?
Nini ambacho sio biashara kubwa za watu?Kwani ni uongo hizo chanjo na madawa kiujumla ni biashara kubwa za watu?
Okay kumbe kaongea kitu cha kawaida tu.Nini ambacho sio biashara kubwa za watu?
Shule na vyuo ni biashara kubwa za watu kwa sababu ya ujinga.
Ujenzi ni biashara kubwa za watu na wewe unakamuliwa kodi zako kulipia barabara na miondombinu ambayo hutawahi hata kukanyaga.
Ulinzi ni biashara kubwa za watu na wewe unakatwa kodi zako kununua mabilioni ya silaha kila mwaka
Kilimo na Chakula ni biashara kubwa ya watu
Sasa kwa nini inakuwa nongwa na mnakalia conspiracies tu kampuni za madawa, biologists, wafamasia na madaktari wakipata na kulipwa pesa kupitia magonjwa??
Nyongo nafahamu taaluma yake. Na wewe hebu weka CV yako kwanza.Nitakufundisha na wewe ukamfundishe huyo Nyongo aliyebobea biashara ya madawa sababu za ugumu wa kupata chanjo ya HIV, ni sayansi ngumu kidogo ila nitajitahidi kutumia maelezo mepesi ambayo hata ngumbaru anaweza kuelewa
1. Kirusi cha HIV ni tofauti na viruses vingine vyote kwa sababu chenyewe kikingia mwilini huwa kinajiunganisha(intergrate) na DNA ya seli za mwili wa binadamu na hivyo kuleta ugumu wa kutengeneza chanjo kwa sababu chanjo huwa inatumia virusi vya ugonjwa wenyewe na katika mazingira haya hiyo chanjo ya HIV inaweza kugeuka ugonjwa wenyewe halisi au inashindwa kutofautisha seli za HIV za kushambulia na seli nzima za mwili zisizotakiwa kushambuliwa.
2. Uwezo wa hali ya juu wa kirusi cha HIV kubadilika katika strains/forms mbalimbali unafanya utengenezaji wa chanjo kuwa mgumu.