Huyu ndiye Naibu Waziri wa Mipango na uwekezaji!

Nyongo nafahamu taaluma yake. Na wewe hebu weka CV yako kwanza.
Jadili hoja achana na CV yangu, mimi sitaki kujua hata CV ya huyo Nyongo na wala sio muhimu katika huu mjadala.
 
Kama unataka kumuelimisha Nyongo mfuate kwenye account zake rasmi za social media,kampe shule au akupe shule au mpeane shule.
Tena kaongea bungeni ni nafasi nzuri kufichua uongo wake, kamfundishe mkuu.
 
20240606_093428.jpg
 
Viongozi wetu wanaofanya teuzi hawajui tu! CV ya mtu ina matter sans kwenye kujenga confidence kwake kwa wawekezaji wa ndani na nje.

Hivi unawaachaje Deo Mwanyika, Prof Muhongo na Charlres Kimei unaenda kuteua mtu ambaye ashawahi toa matamko ya hovyo kupindukia?
 
Msingi wa biashara zote ni kutatua matatizo ya watu.

Maradhi, kama matatizo mengine ya binadamu, yanatatuliwa kupitia biashara na wale ambao wamewekeza akili zao na mitaji kutafuta masuluhisho ya maradhi hayo.

Tukijua hayo, tutaacha huu ujuha wa conspiracy theories za chanjo ambazo zinaendelea kudumaza akili za watanzania.

Huenda pia huyo waziri akaondokana na dhana nyingine potofu inayowatesa watanzania; kwamba nchi hii imejaa rasilimali.

Ni kweli lakini tusipowekeza akili zetu kuzitumia hizo rasilimali kutatua matatizo yanayowakabili binadamu tukiwamo sisi wenyewe hazitakaa ziifaidishe nchi.

Mimi huwa naamini kuwa mtu yoyote anaweza badilika akipata uzoefu mpya hivyo siwezi mhukumu huyo jamaa kwa msimamo wake wa 2017.
 
Aahaaaa

Hao uliowataja wana mawe na siyo njaa njaa

Ukiwaambia kuwa waseme just ni mwezi watasema hivyo hivyo
 
Kwani hata wewe hujiulizi Aids tangu 1980s haina chanjo, halafu covid 19 imeingia na chanjo imepatikana? Kwani ni uongo hizo chanjo na madawa kiujumla ni biashara kubwa za watu?
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Elimu ni msingi na kuna Watu waliua Elimu huko nyuma na kuua Msingi wa Taifa.
Maza ameshasema elimu sio kipaumbele uongozi ni kipaji na sio kuwa ni elimu. Hata std7 anaweza akaomgoza pia.
Nyie someni ,sie huku koneksheni. Bot hakuna mtt wa kajamba nani
 
Msingi wa biashara zote ni kutatua matatizo ya watu.

Maradhi, kama matatizo mengine ya binadamu, yanatatuliwa kupitia biashara na wale ambao wamewekeza akili zao na mitaji kutafuta masuluhisho ya maradhi hayo.

Tukijua hayo, tutaacha huu ujuha wa conspiracy theories za chanjo ambazo zinaendelea kudumaza akili za watanzania.

Huenda pia huyo waziri akaondokana na dhana nyingine potofu inayowatesa watanzania; kwamba nchi hii imejaa rasilimali.

Ni kweli lakini tusipowekeza akili zetu kuzitumia hizo rasilimali kutatua matatizo yanayowakabili binadamu tukiwamo sisi wenyewe hazitakaa ziifaidishe nchi.

Mimi huwa naamini kuwa mtu yoyote anaweza badilika akipata uzoefu mpya hivyo siwezi mhukumu huyo jamaa kwa msimamo wake wa 2017.
Uko sahihi kabisa. Nimejibu hizi post baada ya baadhi ya watu kusema jamaa ni kilaza blah blah blah. Jamaa sio kilaza. Madawa ndio taaluma yake. Anajua anachoongea, kama anapotosha anafanya kusudi kwasababu moja au ingine.
 
Ni wanasheria wangapi ambao ni vilaza kabisa kuhusu katiba ya nchi?
Ni wahasibu wangapi ambao ni vilaza kuhusu ufungaji wa hesabu?
Walioweka banda la kujifukiza corona muhimbili sio wataalamu wa afya?
Waliopima mapapai na kipimo cha corona sio wakemia?
 
Ha ha ha sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom