Amesema Ukweli mtupu. Hivi jana ama Juzi tu kamati moja ya Bunge la Marekani likiongozwa na wawakilishi wa chama cha Republicans(wawekezaji)wamesema hayo hayo.
Tatizo hapa ni kwamba amemtaja Magufuli? Sasa tulipokuwa tunasema Wazungu walikula njama za kumuangamiza Hayat Rais tulikuwa tunakosea? La hasha.
Ati "ataaminika na wawekezaji"
Kwa lugha hiyo ina maana kwamba Je, ataaminika na Wazungu?
Zingatia: Wawekezaji ni Investors. Investor haina Rangi, sasa kwanini asiaminike na Waafrika, ama Wahindi ama Waarabu?
Huu uchawa kwa Wazungu. Kha.