Mara nyingi ndugu, jamaa na majirani wanakuwa wanayatumia Kwa sana hivyo mtoto akizaliwa yanakuja tu automatic, Kuna jina lingine Audax pia sijawahi ona kabila lingine
Ukiingia Usukumani Kuna jina la kike moja maarufu sana "Caflene wenyewe wanamwita Kefuu na kama Dodoma jina la Jailos na Job