Huyu ndiye Rais aliyepaswa kuongezewa muda

Huyu ndiye Rais aliyepaswa kuongezewa muda

Kama Tulikuwa Na Lengo La kuongeza Muda wa Rasi kukaa madarakani Tungemuongezea Huyu Mzee, Ni Moja kati Ya Watu Wanaojali Utu

View attachment 1706913
Mpaka muda huu angehakikisha ma kundi maalum yameshapata chanjo bora ya covid na si bora chanjo.
Nimegundua watanzania wengi hawana akili. Kikwete aongezewe muda?wakati alipaswa kukatishwa kabiSa kuendelea kuiharibu nchi. Ninyi ndo mlikuwa mnafaidika na madawa ya kulevya na ufisadi?katika marais walioharibu nchi huyu ni wa kwanza. Namshukuru tu kumleta Magufuli. Ila kama unampenda sana nenda kaishi naye.

Sasa mnanifanya nianzishe harakati za kutaka Magufuli aongezewe muda kama mna akili hizi ninyi ni watu wa hatari na wa hovyo sana. Kikwete alitakiwa kufungwa kabisa. Kwa issues za richmond,iptl,katiba mpya,madawa ya kulevya,ufisaidi wa kila sehemu etc

Wewe unasema aongezewe muda?najua wadangaji wengi pia wanampenda sababu that time walikuwa wanapata pesa toka kwa mafisadi na wauza madawa ya kulevya sasa.hali imekuwa ngumu. Sisi wenye akili na kufanya kazi ,wenye kipato halali tunataka MAGUFULI TENA MPAKA 2030. WACHAWI MTAKUFA KWA KIHORO.
 
Kweli duniani unafki ni sehemu ya maisha
 
Kwa kweli alijitahidi Sana hata kuajiri kwa waalimu waliomaliza mafunzo yao Mara moja.
Ilikuwaje mkaamua kumpeleka ICC?
 
WaTanzania tuna ugonjwa mmoja tu:-
Kidhabidhabina!! Tukipona huu tutaongoza ulimwengu kwa ujasiri wetu *
 
Back
Top Bottom