Huyu ndiye Rais aliyepaswa kuongezewa muda

Huyu ndiye Rais aliyepaswa kuongezewa muda

Mimi ni mfanyakazi. Kanibana wapi? Ninacho taka kutoka kwa mwajiri ni kutimiza wajibu wake. Nafanya kazi kwa bidii kwa manufaa ya Taifa, lakini natakiwa pia kupewa stahiki zangu kwa mujibu wa sheria na kanuni za kiutumishi.

Kwa bahati mbaya sana na kwa kutokana na uelewa wake mdogo, huyu malaika wenu ameamua kutudhulumu stahiki zetu. Mwambieni atupandishe madaraja yetu! Ni mwaka wa sita huu anatufanyia uhuni. Tumechoka! Na asipo fanya hivyo, ufanisi wa kazi utaendelea kushuka kadiri siku zinavyo kwenda.
Upandishwe daraja kwa kazi gani.Mlitaka hata vyeti feki vivumiliwe,kila kitu mnapinga tu.
 
Mbona hata huyu malaika wako anatukanwa tu! Au umesahau namna Tundu Lissu alivyo mnyoosha mwaka jana? Na kama ni wizi, uliisha lini?

Mbona hii awamu yake ndiyo watu wake wa karibu wanaiba tu!! Huko Chato tu anakotoka yeye, tayari wajanja wameshapiga bilioni 3 na ushee! Kuna ile tirion 1.5 ambayo iliyeyukia kusiko julikana! Wakurugenzi kibao tu wanapiga hela kama hawana akili vile! Unafuu uko wapi sasa!

Halafu unasema eti akistaafu tutamsifia! Tutamsifia kwa lipi hasa! Kuchezea hela za Watanzania kwa kuanzisha miradi ya kipuuzi? Kwa kutonipa stahiki zangu kama mfanyakazi kwa miaka sita?

Kafie mbali huko na hiyo takataka yako.
Acha kazi kama haina faida,vijana wengi hawana ajira wabaitaka hiyo nafasi,wewe ukafanye biashara
 
Upinzan una safari ndefu sana hawajui wanasimamia nn Kuna mmoja humu simtaji jina alisema siku akimalza muda wake huyu mwamba atapika sadaka na kufurahi nadhan n mtoa mada namba Saba katika uzi huu Kama sikosei

CCm nao hawaaminiki kabisaa sjui tuongozwe na nani kwa kweli
 
Watanzania bana, mara wanakuponda na kukukanyaga kanyaga. Hujakaa sawa, wakunyayuwa na kukufinyanga vizuri huku wakikupamba kwa maua.
Kikwete alikuwa anapondwa na kukosolewa kwasababu anastahili. Kukosolewa ni afya ili uwe bora zaidi.

Ila sasa Kibwengo 👿 hata kukosoa huwezi, kila mwenye akili timamu anabaki ameduwaaa. Maana ni MBOVU to the core. Unakosoa kipi unaacha kipi.

Dereva wa basi anapokuwa anaendesha gari kwenda Mwanza unaweza kumkosoa uendeshaji wake ila ikitokea yeye ana anapaswa kwenda Mwanza lakini anapekeka gari Zanzibar hapo huwezi kukosoa, UTADUWAA tu na kukosa cha kusema.

Mfano huo huo, uweke kwa Ummy Mwalimu ( huyu alikuwa anakosoleka ) ila sasa kuna taahira ambayo inashangaza hata kukosoa hutaweza maana hafai kote 💯💯
 
Tafuta comment yako humu, mllipokuwa mnataka kumpeleka ICC
 
Kama Tulikuwa Na Lengo La kuongeza Muda wa Rasi kukaa madarakani Tungemuongezea Huyu Mzee, Ni Moja kati Ya Watu Wanaojali Utu

View attachment 1706913
Mpaka muda huu angehakikisha ma kundi maalum yameshapata chanjo bora ya covid na si bora chanjo.
Mnasahau kwamba huyu ndiye aliyemuachia magufuli ofisi.
 
Itafute na humu
 
Acha kazi kama haina faida,vijana wengi hawana ajira wabaitaka hiyo nafasi,wewe ukafanye biashara
Niache kwani uliniajiri wewe? Au unadhani niliajiriwa na huyo magufuli wako? Kazi siachi na nitaendelea kupigania haki yangu mwanzo mwisho! Unadhani wote tukifanya hiyo biashara, ni nani atakuwa mkulima au mfanyakazi?
 
Huyu ana Utu, hata wakati wa majanga alikua mfariji mkuu
Ikawaje mkampeleka ICC? Nyie watu hamna ubongo?
 
Huyu Mzee inabidi tumwombee sana Mwenyenzi Mungu azidi kumpa maisha marefu zaidi hapa Duniani
Sasa si mlimpelekea ICC? Au mnamuombea hayo maisha marefu akiwa huko jela?
 
Kikwete alikuwa anapondwa na kukosolewa kwasababu anastahili. Kukosolewa ni afya ili uwe bora zaidi.

Ila sasa Kibwengo [emoji49] hata kukosoa huwezi, kila mwenye akili timamu anabaki ameduwaaa. Maana ni MBOVU to the core. Unakosoa kipi unaacha kipi.

Dereva wa basi anapokuwa anaendesha gari kwenda Mwanza unaweza kumkosoa uendeshaji wake ila ikitokea yeye ana anapaswa kwenda Mwanza lakini anapekeka gari Zanzibar hapo huwezi kukosoa, UTADUWAA tu na kukosa cha kusema.

Mfano huo huo, uweke kwa Ummy Mwalimu ( huyu alikuwa anakosoleka ) ila sasa kuna taahira ambayo inashangaza hata kukosoa hutaweza maana hafai kote [emoji817][emoji817]
Ikawaje mkampeleka ICC?
 
Upandishwe daraja kwa kazi gani.Mlitaka hata vyeti feki vivumiliwe,kila kitu mnapinga tu.
Basi ngoja niendelee tu kula huu mshahara kiduchu ninao upata. Kama Rais mwenyewe amezungukwa na watu wa aina yako, hatushangai kuona nchi ikizidi kumuelemea.
 
Niache kwani uliniajiri wewe? Au unadhani niliajiriwa na huyo magufuli wako? Kazi siachi na nitaendelea kupigania haki yangu mwanzo mwisho! Unadhani wote tukifanya hiyo biashara, ni nani atakuwa mkulima au mfanyakazi?
Fanya kazi au acha you have a choice. Kazi ni mbaya ukiwa nayo.Kama hukubaliani na mazingira pliz quit.
 
Basi ngoja niendelee tu kula huu mshahara kiduchu ninao upata. Kama Rais mwenyewe amezungukwa na watu wa aina yako, hatushangai kuona nchi ikizidi kumuelemea.
Kuna watu hata huo kiduchu hawana mkuu.Kama unalima,mavuno kidogo acha kulima Fanya issue zingine.
 
Kama Tulikuwa Na Lengo La kuongeza Muda wa Rasi kukaa madarakani Tungemuongezea Huyu Mzee, Ni Moja kati Ya Watu Wanaojali Utu

View attachment 1706913
Mpaka muda huu angehakikisha ma kundi maalum yameshapata chanjo bora ya covid na si bora chanjo.
Sio chanjo Bora tu Bali hata mijadala ya kujadili jina jipya la ugonjwa wa corona usinge kuwapo, maana Wapoteza muda wa kuokoa maisha ya waanga. Inatafuta jina utafikiri sisi ndio tumegundua ugonjwa huo.Anakwepa kulipa "risk allowance" za wahudumu wa hospitali nini?
 
Kama alikuwa na serikali legelege, yeye dhaifu angeongezwaje hiyo miaka?
 
Huyu mzee wetu nakumbuka mlikashifu Sana kufikia hatua katibu mkuu wa Sasa wa chadema kutamka bungeni kuwa ni Dhaifu.

Napata mashaka Sana na maamuzi yenu.

Mara zote hampo sahihi.

Hata sasa hampo sahihi.

Muda utaleta majibu kuhusiana na haya mnayoyafanya sasa.
Mkuu upinzani ni upumbavu tu
 
Back
Top Bottom