Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 7,310
- 13,098
ikumbukwe mlikuwa mnampinga sana
🤔🤔
ova
🤔🤔
ova
Angefanya papara tukapata ile ya pfizer waliopata S.A ambayo ndio matokeo ya kutuletea hii 4G-COVID super strongkama angekuwa rais tungeshapata chanjo
Hao lile jina lao la mbugani usifikirie wametajwa kwa bahati mbaya.Hahaha leo mnamkumbuka dhaifu..........hawa ndo wabongo sasa. Enzi zile kila siku mlikua mnakesha mkimponda, leo mnamkumbuka kweli baniani mbaya kiatu chake dawa
They don't know what they actually want. Ni kama mtu anayechagua kiatu -- sijui hiki, sijui kile!???Masikini bavicha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Salary slip alisema huyu akiondoka atakuwa ana adhimisha kila mwaka siku hiyo.
JK ni rais dhaifu sana. By Mnyika.
Ukifuatulia nyuzi na coment za bavicha humu kabla ya 2015 alafu ukilinganisha na wanachoandika hapa unaweza kufikiri hawa watu hawana vichwa.
[emoji106]Huyu mzee wetu nakumbuka mlikashifu Sana kufikia hatua katibu mkuu wa Sasa wa chadema kutamka bungeni kuwa ni Dhaifu.
Napata mashaka Sana na maamuzi yenu.
Mara zote hampo sahihi.
Hata sasa hampo sahihi.
Muda utaleta majibu kuhusiana na haya mnayoyafanya sasa.
Hakuna watu wanafiki kama watanzania..wakiongozwa na ww sikai ekilati..ww n mnafki mzuri sana..kipind huyu yuko pale magogoni hakuna siku inapita bila kumnanga kwa mawe mazito mzee wa watu..uzuri huyu mzee hanaga shobo wala care na upuuzi wa wanafki..huwa anatulia..sasa leo ndo mnakuja..na fyuku fyuku zenu..Kama Tulikuwa Na Lengo La kuongeza Muda wa Rasi kukaa madarakani Tungemuongezea Huyu Mzee, Ni Moja kati Ya Watu Wanaojali Utu
View attachment 1706913
Mpaka muda huu angehakikisha ma kundi maalum yameshapata chanjo bora ya covid na si bora chanjo.
Hakuna anayestahili kuongezewa muda.
Kama Tulikuwa Na Lengo La kuongeza Muda wa Rasi kukaa madarakani Tungemuongezea Huyu Mzee, Ni Moja kati Ya Watu Wanaojali Utu
View attachment 1706913
Mpaka muda huu angehakikisha ma kundi maalum yameshapata chanjo bora ya covid na si bora chanjo.
Kikwete hakua dhaifu alikuwa anazingatia utawala wa sheria,alikuwa hawez kumtumbua mtu kwa tuhuma,ndo maana alikuwa anaunda tume za kuchunguza bado mkawa mnampigia kelele anaunda tume nyingi,hakiwa mropokaji Wala mtukanaji wa viongozi wenzake,akipelekewa umbea flani mwizi hakuripuki kumtumbua ndo Happ mkawa mnamwita analinda washkaji zake!Hilo liko wazi JK alikuwa dhaifu sana kwenye kuwashughulikia wasaidizi wake walio kubuhu kwa Ufisadi. Na hii ndiyo turufu iliyotumiwa na Chadema kujipatia umaarufu wa kipekee. Maana waliweka kila kitu wazi. Na ukichukulia kulikuwa kuna demokrasia walau yenye uwazi, hakika Watanzania wengi tulikerwa sana na hao wapigaji.
Ila ukija kwenye mambo mengine, hakika this man was Great! Mfano sisi Wafanyakazi tulipandishwa madaraja yetu kila baada ya miaka 3, annual incriment kila mwezi wa 7, alituongezea mishahara mara kadhaa tulipo mdai/muomba! Aliajiri maelfu ya wahitimu wa vyuo kila mwaka! Na wakati huo huo alijenga miundo mbinu mbalimbali, ukiwemo usambazaji wa umeme vijijini, barabara za lami, madaraja, nk.
Siyo huyu wa sasa! Anatapanya tu fedha kwa mamiradi yake yasiyo eleweka huku wafanyakazi tukitaabika. Kutoka kupandishwa madaraja kila baada ya miaka 3 enzi za JK! Hadi sasa tuna miaka 6 na hatujui hatma yetu!! Kuna watu hawana tofauti na mashetani.[emoji17]
Jk alikiwa na matatizo yake lakini huwezi mlinganisha na Jiwe, na ndiye yeye aliyetuletwa madhira yote yaliyopo sasa(Jiwe).[emoji106]
Dah aliyeonekana dhaifu hatimaye kaonekana shujaa...Kama Tulikuwa Na Lengo La kuongeza Muda wa Rasi kukaa madarakani Tungemuongezea Huyu Mzee, Ni Moja kati Ya Watu Wanaojali Utu
View attachment 1706913
Mpaka muda huu angehakikisha ma kundi maalum yameshapata chanjo bora ya covid na si bora chanjo.
Hahahaha......Siyo huyu wa sasa! Anatapanya tu fedha kwa mamiradi yake yasiyo eleweka huku wafanyakazi tukitaabika. Kutoka kupandishwa madaraja kila baada ya miaka 3 enzi za JK! Hadi sasa tuna miaka 6 na hatujui hatma yetu!! Kuna watu hawana tofauti na mashetani.😔
Ndio hivyo watu walisahau msemo wa wahenga. ... Heri nusu shari kuliko shari kamiliMbona wakati wa utawala wake alilaumiwa sana
Ova