Gari Moshi
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 682
- 421
Labda corona iwe imekwisha ndio wagombee hao wastaafu la sivyo....Kama Lumumba wanataka wabadilishe katiba basi pia wabadili kipengele cha marais waliopita nao wagombee!!
Labda corona iwe imekwisha ndio wagombee hao wastaafu la sivyo....Kama Lumumba wanataka wabadilishe katiba basi pia wabadili kipengele cha marais waliopita nao wagombee!!
Sasa ikawaje mkampeleka ICC?Kama huyu JPM angezingatiaa maendeleo ktk watu basi angechukua marks zote, wala ata huyo JK asingekumbukwa, lkn huyu mzee anataka tuishi km mashetani unafikiri kwann JK aasikumbukwe.
Kla nkikukumbuka kipnd cha JK mwaka wa fedha ukichungulia account namb imetikisika, hakna idara nchi hii ambayo haikuwa na semina za mara kwa mara yan inshort JK alitaka keki ya taifa tuile wote ingawaje alikuwa sio mkali kiviile.
Raisi ajaye baada ya JPM (cjui atakuwa mwinyi au majaliwa) ili apate kiki vizuri ktk hili taifa inatakiwa awe na roho Zote, roho ya ukali ktk kusimamia serikal, na roho ya kuangalia maendeleo ktk watu mishahara, nyongeza, ajira akifanya yte ya ukali ktk Utendaji na kujal maendeleo ya watu basi JPM atasahaulika kabisaaa. Ila akisema angalie maendeleo ya watu tu na asiwe mkal bas JPM atakumbukwa kwa kufokafoka
Si afadhali ungekuwa na uhuru wa kuongelea kuliko Sasa,Benki ya Dunia ili hoji msaada uliletwaje Tanzania wakati uongozi unasema hatuna corona? Fedha zile zilienda wapi? Alafu kipindi hicho tulikuwa na kampeni za urais na wabunge.Apumzike tu, alichofanya kinatosha. Angekuwepo yeye, saa hizi watu wangekuwa anaongelea jinsi msaada ya covid ya kifedha ilivyotafunwa.
Tuwaulize waliopeleka mashtaka huko, huyo alikuwa ni rais wangu pendwa na nlkuwa upande wake toka anaongoza hili taifa na ni role model wangu... Nimejifunza falsafa nyng kwake km tunakula keki ya taifa tuile wote, sio wachache wale keki ya taifa wengi wateseke as if haya mapesa ya hili taifa ni ya mali za urithi wa baba ake.Sasa ikawaje mkampeleka ICC?
![]()
GE2015 - Rais Jakaya Kiwete ashitakiwa Mahakama ya Kimataifa ya ICC
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimemshitaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete. Anaandika Josephat Isango. Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo mchana ukumbi wa Kisenga uliopo Millenium Tower, wakili wa Chadema, John Mallya amesema Kikwete...www.jamiiforums.com
hivi why katiba isibadilishwe iruhusu hata wastaafu wa uraisi kuwania nafasi...hahahahah tumsrudishe kuliko kuongeza ukomo wa muda wa raisi.............mawazo tu ya utaniKama Tulikuwa Na Lengo La kuongeza Muda wa Rasi kukaa madarakani Tungemuongezea Huyu Mzee, Ni Moja kati Ya Watu Wanaojali Utu
View attachment 1706913
Mpaka muda huu angehakikisha ma kundi maalum yameshapata chanjo bora ya covid na si bora chanjo.
Magufuli amefeli kila kituHuyu mzee wetu nakumbuka mlikashifu Sana kufikia hatua katibu mkuu wa Sasa wa chadema kutamka bungeni kuwa ni Dhaifu.
Napata mashaka Sana na maamuzi yenu.
Mara zote hampo sahihi.
Hata sasa hampo sahihi.
Muda utaleta majibu kuhusiana na haya mnayoyafanya sasa.
Utapondwa pale utakapokosea, kwenye mazuri sifa utazipata. Sasa kidiplomasia na majukumu ya serikali kikatiba juu ya wananchi tukiwalinganisha Kati yake na jiwe bora yupi?Watanzania bana, mara wanakuponda na kukukanyaga kanyaga. Hujakaa sawa, wakunyayuwa na kukufinyanga vizuri huku wakikupamba kwa maua.
Hata Wanawaisrael walipikuwa jangwani walisahau mema ya Mungu aliyowafanyia wakumbuka walivyokuwa wakila utumwani Misti. That's a human nature mkuu; ukigundua madhaifu ya aliyepiga alafu aliyekuja akawa dhaifu zaidi utasema bora yule aliyepita na kuanza kumsifia. Ndiomana Kuna kitu kinaitwa scale of preferenceHahaha leo mnamkumbuka dhaifu..........hawa ndo wabongo sasa. Enzi zile kila siku mlikua mnakesha mkimponda, leo mnamkumbuka kweli baniani mbaya kiatu chake dawa
Ndio maana Mnyika akamwita dhaifu?Kikwete hakua dhaifu alikuwa anazingatia utawala wa sheria,alikuwa hawez kumtumbua mtu kwa tuhuma,ndo maana alikuwa anaunda tume za kuchunguza bado mkawa mnampigia kelele anaunda tume nyingi,hakiwa mropokaji Wala mtukanaji wa viongozi wenzake,akipelekewa umbea flani mwizi hakuripuki kumtumbua ndo Happ mkawa mnamwita analinda washkaji zake!
JK alikuw na Mapungufu yake but he was a diplomatic, anything happen solved diplomatic way,and he care about workers and their deeds.saiz miradi mingi kwa mkupuo it means Tz unataka ibadilike leo leo.maslahi mengi ya wafanyakazi yamebanwa kwa kisingizio cha kujenga nchi,wakati katiba na mikataba yao ipo wazi inajieleza.Huyu Jk angebadilikia humohumo si alikuw anakosolewa,but now dayz ONE MAN ARMYMbona hata huyu malaika wako anatukanwa tu! Au umesahau namna Tundu Lissu alivyo mnyoosha mwaka jana? Na kama ni wizi, uliisha lini?
Mbona hii awamu yake ndiyo watu wake wa karibu wanaiba tu!! Huko Chato tu anakotoka yeye, tayari wajanja wameshapiga bilioni 3 na ushee! Kuna ile tirion 1.5 ambayo iliyeyukia kusiko julikana! Wakurugenzi kibao tu wanapiga hela kama hawana akili vile! Unafuu uko wapi sasa!
Halafu unasema eti akistaafu tutamsifia! Tutamsifia kwa lipi hasa! Kuchezea hela za Watanzania kwa kuanzisha miradi ya kipuuzi? Kwa kutonipa stahiki zangu kama mfanyakazi kwa miaka sita?
Kafie mbali huko na hiyo takataka yako.
Ilikuwaje mkampeleka kikwete ICC? Au tushasahau Kama Ana file ICC?JK alikuw na Mapungufu yake but he was a diplomatic, anything happen solved diplomatic way,and he care about workers and their deeds.saiz miradi mingi kwa mkupuo it means Tz unataka ibadilike leo leo.maslahi mengi ya wafanyakazi yamebanwa kwa kisingizio cha kujenga nchi,wakati katiba na mikataba yao ipo wazi inajieleza.Huyu Jk angebadilikia humohumo si alikuw anakosolewa,but now dayz ONE MAN ARMY
Kama angekuwa Rais tungeshapata chanjo
Hilo liko wazi JK alikuwa dhaifu sana kwenye kuwashughulikia wasaidizi wake walio kubuhu kwa Ufisadi. Na hii ndiyo turufu iliyotumiwa na Chadema kujipatia umaarufu wa kipekee. Maana waliweka kila kitu wazi. Na ukichukulia kulikuwa kuna demokrasia walau yenye uwazi, hakika Watanzania wengi tulikerwa sana na hao wapigaji.
Ila ukija kwenye mambo mengine, hakika this man was Great! Mfano sisi Wafanyakazi tulipandishwa madaraja yetu kila baada ya miaka 3, annual incriment kila mwezi wa 7, alituongezea mishahara mara kadhaa tulipo mdai/muomba! Aliajiri maelfu ya wahitimu wa vyuo kila mwaka! Na wakati huo huo alijenga miundo mbinu mbalimbali, ukiwemo usambazaji wa umeme vijijini, barabara za lami, madaraja, nk.
Siyo huyu wa sasa! Anatapanya tu fedha kwa mamiradi yake yasiyo eleweka huku wafanyakazi tukitaabika. Kutoka kupandishwa madaraja kila baada ya miaka 3 enzi za JK! Hadi sasa tuna miaka 6 na hatujui hatma yetu!! Kuna watu hawana tofauti na mashetani.[emoji17]
Watanzania walishakubuhu kwa unafiki mpaka kuwa wapumbavu mkuuKwa maelezo yako udhaifu mnaosema ni kwa uhuru ambao kikwete aliwapa mkauabuse kwa kumwita dhaifu.
Sasa mnalialia kwakua ile nafasi ya kutukana tena kwa Uhuru kwa kuita watu dhaifu haipo tena na wizi wizi haupo tena. Yaani kiufupi mligeuza mapato ya serikali kama yenu.
Naamini kabisa kwa jinsi mlivyo Magufuli akistaafu lazima mumsifie , ushahidi upo hakuna mstaafu ambaye hajapata kusifiwa. Muda utaongea kwa hilo.
Tulikuwa na rais wakati huo.Kama Tulikuwa Na Lengo La kuongeza Muda wa Rasi kukaa madarakani Tungemuongezea Huyu Mzee, Ni Moja kati Ya Watu Wanaojali Utu
View attachment 1706913
Mpaka muda huu angehakikisha ma kundi maalum yameshapata chanjo bora ya covid na si bora chanjo.