Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Nimegundua watanzania wengi hawana akili. Kikwete aongezewe muda?wakati alipaswa kukatishwa kabiSa kuendelea kuiharibu nchi. Ninyi ndo mlikuwa mnafaidika na madawa ya kulevya na ufisadi?katika marais walioharibu nchi huyu ni wa kwanza. Namshukuru tu kumleta Magufuli. Ila kama unampenda sana nenda kaishi naye.Kama Tulikuwa Na Lengo La kuongeza Muda wa Rasi kukaa madarakani Tungemuongezea Huyu Mzee, Ni Moja kati Ya Watu Wanaojali Utu
View attachment 1706913
Mpaka muda huu angehakikisha ma kundi maalum yameshapata chanjo bora ya covid na si bora chanjo.
Kama Tulikuwa Na Lengo La kuongeza Muda wa Rasi kukaa madarakani Tungemuongezea Huyu Mzee, Ni Moja kati Ya Watu Wanaojali Utu
View attachment 1706913
Mpaka muda huu angehakikisha ma kundi maalum yameshapata chanjo bora ya covid na si bora chanjo.
Ilikuwaje mkaamua kumpeleka ICC?Kwa kweli alijitahidi Sana hata kuajiri kwa waalimu waliomaliza mafunzo yao Mara moja.
na mbona mlimuita dhaifu mala fisadi n.kTulikuwa na rais wakati huo.