Huyu ndiye Rais ambaye ana content kwenye Hotuba zake ukimwondoa Nyerere

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Baada ya Ben Mkapa hakutokea tena Rais ambaye alikuwa na akili katika hotuba.

Mkapa alikuwa kichwa, alikuwa na akili bahati mbaya tu alikuwa chama ambacho hakitaki watu wenye akili kuwa nazo au kuzitumia.

Sikiliza Rais akiongea..................................
Your browser is not able to display this video.
 
Mkapa alikua muandishi wa habari, kasukumizwa uraisi na kanisa katoliki pamoja na Nyerere ila ufisadi wizi wa mali za ummah aliazisha yeye.
 
BORA HATA HUKO KWENYE HICHO CHAMA WAPO WENYE AKILI SASA KUNA LICHAMA HILO AISEE HAKUNA MWENYE AKILI HATA MMOJA KIDOGO ALIYEKUWA NA AKILI ANAPENDA USHOGA WALIOBAKI NII HASARA TUPU CHAMDOMO
 
 
Taifa halijawahi, na pengine halitakuja tena kupata rais mwizi na jambazi wa kiwango cha mkapa.
Nadhani ulikufa tu baada ya kipindi cha Mkapa. Maana ungeishi kipindi cha kikwete sijui ungesemaje... Ilikuwa balaa times times. Yaani ccm....Mungu aingilie kati tu....
 
Shida ya Tz sio Rais, bali mazingira yanayopeleka kupatikana kwa Rais. Tuwe wawazi
  • Mwinyi alikuwa suluhisho katikati ya mivutano na mashaka, hata kama hakuwa chaguo la wengi
  • Mkapa aliletwa kama mtu wa kuirejesha Tz kwenye mustari baada ya uholela uliozagaa wakati wa Ruksa
  • Kikwete lilikuwa shinikizo la washikaji (wakiwemo Mafisadi) wakijua mshikaji atawapa fursa
  • Magufuli alikuwa kama suluhisho kati ya wagombea 50 na hofu ya umaarufu wa EL
  • Na huyu wa sasa ni ajali ya kihistoria.
Hata hivyo, ingawa Mkapa aliweka mifumo imara ya usimamizi wa uendeshaji wa nchi hakuwa na weledi wa kutosha kwenye mambo ya rasilimali za asilia ndio maana azma yake ya ubinafsishaji haikupata mafanikio
 
Alikwama wapi sasa kutuletea katiba mpya? Acheni sifa za kijinga, CCM ni ile ile
 
Tanzania hii Haina upungufu wa watu wenye akili ila ni wanafiki wasioweza kuweka taasisi za kusimamia wanachokitamka na wanafanya hivyo makusudi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…