Huyu ndiye Rais ambaye ana content kwenye Hotuba zake ukimwondoa Nyerere

Huyu ndiye Rais ambaye ana content kwenye Hotuba zake ukimwondoa Nyerere

Baada ya Ben Mkapa hakutokea tena Rais ambaye alikuwa na akili katika hotuba.

Mkapa alikuwa kichwa, alikuwa na akili bahati mbaya tu alikuwa chama ambacho hakitaki watu wenye akili kuwa nazo au kuzitumia.

Sikiliza Rais akiongea..................................
View attachment 2512338
'ubinafsishaji utaendelea,asiyetaka shauri yake' ...hizo ndiyo hotuba zenye content na akili kubwa!?
 
kInachonishangaza kwa huyu jamaa ni baada ya kutoka madarakani aliichukia sana demokrasia,sjui kwanini

Alimwambukiza hadi yule mshamba kutoka shamba chato kuichukia demokrasia
 
Mkapa akili kubwa atoe wapi!?..unaipimaje akili kubwa..na hasa ya mkapa!?
Hauijui historia ya nchi yako, ungekuwa unajua nchi ilikuwaje mwaka 1995 na ilikuwaje 2005 usingeuliza hayo. Kwakifupi Ben ndiye rais bora wa muda wote wa nchi hii.
 
Hauijui historia ya nchi yako, ungekuwa unajua nchi ilikuwaje mwaka 1995 na ilikuwaje 2005 usingeuliza hayo. Kwakifupi Ben ndiye rais bora wa muda wote wa nchi hii.
Wakati mkapa anachukua nchi nilikua na akili timamu,mkapa hakuchukua nchi kwa nyerere,kachukua nchi kwa mwinyi,uliza mwinyi alirithi nchi gani,mkapa alichofanya Sana ni wizi tu kupitia uwekezaji,uza migodi kwa Bei za kutupa,uza mashirika ya umma kwa Bei za kutupa,kipindi chake kilikua kipindi Cha ukapa...ikiwa unajua ilimaanisha nini
 
BORA HATA HUKO KWENYE HICHO CHAMA WAPO WENYE AKILI SASA KUNA LICHAMA HILO AISEE HAKUNA MWENYE AKILI HATA MMOJA KIDOGO ALIYEKUWA NA AKILI ANAPENDA USHOGA WALIOBAKI NII HASARA TUPU CHAMDOMO
Wanapenda ushoga?Kwani walikutongoza?
 
Back
Top Bottom