Elections 2015 Huyu ndiye Waziri Mkuu wa Magufuli

Watu wa ukanda wa pwani ya hindi hawafai kuongoza nchi maana hata maendeleo yao binafsi ni shida
 
Mie.namuhofia Lukuvi tho sijawah mpenda hata mwelewa
 
PM Lukuvi ila namuonea huruma Pombe akiwa Rais na PM wake huyo baba , watagombana tu, wote vichwa vigumu! Watagombana tu lazima! Labda li Mwanry, maana sio senior kwa Pombe! Anyway ila Rais ni Lowasa! Ndoto mchana kwa Pombe imeisha!
 
Watu wa kusomba kwenda kuangalia wasanii hao nao ni wa kusema...ccm hovyo daima
 
Wewewewe Mzee MWCHACHE akisikia hilo jina la Tatu moyo unaripuka puuuuuu..yan anajuta alichofanya..na mm nasema awe waziri mkuu tu maana hakuna namna nyingine sasa na kwa maslahi ya visima vyetu vya gesi na mafuta

Hahaaaa!! Nimependa comment yako ndg
 
hahahah basi sawa mkuu kaniripoti, umenichekesha sana mkuu..ahsante

Kawakama sisi tunachagua raisi wa Tanzania. Hio sura yako na jina lako linafanana na wale Bushmen. Nakuripoti uhamiaji wakufuatile huna haki ya kupiga kura nchi hii. Ukapige kura Botswana au Namibia. Lowasa ni raisi wa Tanzania 2015.
 
Hapo waziri awe Muhongo tu tumechoka ubabaishaji
 


Kwa taarifa yako Leo tar 15/09/2015 Chadema kupitia umoja wao wa Ukawa wapo Morogoro na huyo unaemtaja kuwa ni mgonjwa atakuwepo...

Pili kama mnajua ushindi mnao team ccm sorry team Magufuli kampeni ni za nini kwa wakati huu?.Ci mtulie msubiri kuapishwa ?....

Kwa mfumo wa ccm hata kama angalikuja malaika hawez kubadili huu mfumo....
 
CCM Imelala doroooo...ccm haiwezi kufanya campains mwaka huu bila diamond,bila akina wema sepetu etc na wameshatumia mabilions kwa kuwalipa tuu wasanii hawa...masikini CCM mwaka huu wanaendesha kampeni pamoja na fiesta.....hahahaaa
 
The big Pinda ndo kila kitu kwa magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…