mafundisho
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 388
- 136
Atakuwa Mwiguru Nchemba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nwakyembe anafaa ili muhongo achukue nishati
hizi hesabu kama zinagoma..
Kwa mujibu wa NEC
*idadi ya wapiga kura
=mil 22.7
*idadi ya vituo vya kupigia kura
=64736
*idadi ya wapiga kura kila kituo =450.
HAPA UKIKOKOTOA JUMLA YA WAPIGA KURA
=64736X450
=mil 29.1
Samahani Mkuu hivi Pemba nako kuna maendeleo?!! Nijuze ndugu yangu.Lakini kwa nini sehemu zenye maendeleo tz na watu wake wameelimika ndo upinzani uumekomaa. Moshi, pemba, Dar, mbeya nk Katika uchumi huria maskini Hawezi kutawala Tajiri. Hata akitawala ataendeshwa kama remote control ya tv hatakuwa na maamuzi ya kwake Ila ya Tajiri
Muoneeni huruma Mengi jamani. Atahama nchi.
Hivi uyo boya mnayemuita #FieldMarshall# alishawahi kupitia hata mgambo?
muwe mnasikiliza vizuri kinachoongelewa sio mnakurupuka tu kama mmkalia misumari ya moto.
Rais akiwa Lowasa itakuwa awamu ya PILI awamu wa KWANZA Julius Nyerere
Waziri mkuu Kubenea
we unaonaje bi dada
Umofia kwenu wana JF,
Wanasiasa wote pindi wanapokuwa wametia nia ya kutaka kuongoza nchi katika nafasi ya juu kabisa ya kisiasa duniani, kitu cha kwanza kabisa ni lazima mwanasiasa huyo awe na TEAM yake itakayomsaidia kufikia malengo yake ya kuongoza nchi, kama ndivyo ivyo basi #TEAM_YA_MAGUFULI ikiongozwa na secretariate ya CHAMA CHA MAPINDUZI imeshakwishajihakikishia ushindi mnono wa URAIS 25-10-2015 kutokana na kukubalika sana kwa mgombea wao JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI mabaye anaonekana kutokuwa na mpinzani katika nafasi hiyo baada ya mgombea wa UKAWA kuonekana kushindwa japo kumaliza tu kampeni zinazoendelea kutokana na afya yake kuzidi kuzorota kila siku hali inayowatia hofu VIONGOZI WAANDAMIZI WA UKAWA.
Narejea kwenye lengo la uzi huu la kuwaonesha WAZIRI MKUU wa serikali ya awamu ya tano ya CCM CHINI YA TINGATINGA DR JOHN POMBE MAGUFULI. waziri mkuu atatoka kati ya hawa watu makini watatu
1.DR HARRISSON GEORGE MWAKYEMBE
2.FIELD MARSHALL Mwigulu Nchemba
3.PROF.SOSPETER MUHONGO
Hivyo basi piga ua galagaza WAZIRI MKUU wa serikali ya awamu ya tano ya CCM CHINI YA TINGATINGA MAGUFULI atatoka kati ya huo UTATU MTAKATIFU.
By kawakama
Mie nampa chapuo lukuvi