Elections 2015 Huyu ndiye Waziri Mkuu wa Magufuli

Umofia kwenu wana JF,

Wanasiasa wote pindi wanapokuwa wametia nia ya kutaka kuongoza nchi katika nafasi ya juu kabisa ya kisiasa duniani, kitu cha kwanza kabisa ni lazima mwanasiasa huyo awe na TEAM yake itakayomsaidia kufikia malengo yake ya kuongoza nchi, kama ndivyo ivyo basi #TEAM_YA_MAGUFULI ikiongozwa na secretariate ya CHAMA CHA MAPINDUZI imeshakwishajihakikishia ushindi mnono wa URAIS 25-10-2015 kutokana na kukubalika sana kwa mgombea wao JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI mabaye anaonekana kutokuwa na mpinzani katika nafasi hiyo baada ya mgombea wa UKAWA kuonekana kushindwa japo kumaliza tu kampeni zinazoendelea kutokana na afya yake kuzidi kuzorota kila siku hali inayowatia hofu VIONGOZI WAANDAMIZI WA UKAWA.

Narejea kwenye lengo la uzi huu la kuwaonesha WAZIRI MKUU wa serikali ya awamu ya tano ya CCM CHINI YA TINGATINGA DR JOHN POMBE MAGUFULI. waziri mkuu atatoka kati ya hawa watu makini watatu

1.DR HARRISSON GEORGE MWAKYEMBE

2.FIELD MARSHALL Mwigulu Nchemba

3.PROF.SOSPETER MUHONGO

Hivyo basi piga ua galagaza WAZIRI MKUU wa serikali ya awamu ya tano ya CCM CHINI YA TINGATINGA MAGUFULI atatoka kati ya huo UTATU MTAKATIFU.

By kawakama

Unajua maana ya utakatifu maku wewe

Huyo pombe huo urais labda autoe Lumumba
 
Hapo mkuu neno 'utatu mtakatifu' umelitumia vibaya
 
kura yangu ya kwanza inakwenda kwa field marshal mwigulu...

ya pili prof mhongo
 
hizi hesabu kama zinagoma..
Kwa mujibu wa NEC
*idadi ya wapiga kura
=mil 22.7
*idadi ya vituo vya kupigia kura
=64736
*idadi ya wapiga kura kila kituo =450.
HAPA UKIKOKOTOA JUMLA YA WAPIGA KURA
=64736X450
=mil 29.1
 
Umofia kwenu wana JF,

Wanasiasa wote pindi wanapokuwa wametia nia ya kutaka kuongoza nchi katika nafasi ya juu kabisa ya kisiasa duniani, kitu cha kwanza kabisa ni lazima mwanasiasa huyo awe na TEAM yake itakayomsaidia kufikia malengo yake ya kuongoza nchi, kama ndivyo ivyo basi #TEAM_YA_MAGUFULI ikiongozwa na secretariate ya CHAMA CHA MAPINDUZI imeshakwishajihakikishia ushindi mnono wa URAIS 25-10-2015 kutokana na kukubalika sana kwa mgombea wao JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI mabaye anaonekana kutokuwa na mpinzani katika nafasi hiyo baada ya mgombea wa UKAWA kuonekana kushindwa japo kumaliza tu kampeni zinazoendelea kutokana na afya yake kuzidi kuzorota kila siku hali inayowatia hofu VIONGOZI WAANDAMIZI WA UKAWA.

Narejea kwenye lengo la uzi huu la kuwaonesha WAZIRI MKUU wa serikali ya awamu ya tano ya CCM CHINI YA TINGATINGA DR JOHN POMBE MAGUFULI. waziri mkuu atatoka kati ya hawa watu makini watatu

1.DR HARRISSON GEORGE MWAKYEMBE

2.FIELD MARSHALL Mwigulu Nchemba

3.PROF.SOSPETER MUHONGO

Hivyo basi piga ua galagaza WAZIRI MKUU wa serikali ya awamu ya tano ya CCM CHINI YA TINGATINGA MAGUFULI atatoka kati ya huo UTATU MTAKATIFU.

By kawakama

Kazi ya kizushi inayofanywa kwa ustadi mkubwa na vijana wa IT kule masaki, pia ni mpango wa kimkakati wa kuwaaminisha watu kuwa ccm itashinda uchaguzi.

#ccmimechoka
#ccmpumzika
#ccmout
#ccmkwaheri
#mabadiliko
#lowassandiorais
 
hizi hesabu kama zinagoma..
Kwa mujibu wa NEC
*idadi ya wapiga kura
=mil 22.7
*idadi ya vituo vya kupigia kura
=64736
*idadi ya wapiga kura kila kituo =450.
HAPA UKIKOKOTOA JUMLA YA WAPIGA KURA
=64736X450
=mil 29.1

We Akili Hazikutoshi, Wanasema Kituo Hakitazidi Wapga Kura 450, Sasa Kuna Ambavyo Vina Wapga Kura Mia 2, Au Mia 1 Au Hata 50, Sasa Nyie Chadema Huwa Haziwatoshi,
 
IKULU SI PANGO LA WALANGUZI NA WEZI
IKULU SI WODI YA WAGONJWA
hatutaki kuja kufanya uchaguzi mwingine

JPM anatosha na ndiye RAIS nasubiri kuapishwa tu

..... Nawaonea huruma saaana wanaopendelea kutumia hiki kigezo cha ugonjwa. MUNGU awahurumie sana na ni kweli mnahitahi huruma ya MUNGU.

Tukifata vigezo vya ugonjwa, mbona kuna mtu ashaonesha dalili za uwenda wazimu? Mbona tunamwona anaongea hadi akatoka mapovu mdomoni? Mbona kasahau kutufungua mlango wa gari hadi akapitia kwenye "roof" na kuruka kama kichaa? Hivi huyu hawezi kusahau kwenda ikulu na akajikuta yuko ofisi yake ya zamani, wizarani?

Hivi unafahamu tofauti kati ya ugonjwa na kuumwa? Ingia kwenye Google uulize swali hilo utapata jibu kutoka WHO ndo utaona kati yao nani mwenye shida. Lakini mwai kibaki aliapishwa akiwa kwenye whellchair. Tangu tumeambia kuwa huyu ni mgonjwa lakini tunaona watu wanamu-overtake kutangulia mbele ya haki, akiwemo mchungaji mtikila ( RIP).

Tunapoandika habari za ugonjwa wa mtu kwa kutaka kukashfu MUNGU anazidi kutuonesha kuwa yeye humnyofoa amtakaye. Angalia usije ukawa wewe
 
hizi hesabu kama zinagoma..
Kwa mujibu wa NEC
*idadi ya wapiga kura
=mil 22.7
*idadi ya vituo vya kupigia kura
=64736
*idadi ya wapiga kura kila kituo =450.
HAPA UKIKOKOTOA JUMLA YA WAPIGA KURA
=64736X450
=mil 29.1

Lazima zigome kwa 7bu haushirikishi ubongo badala yake unatumia maka**lio
 
Umofia kwenu wana JF,

Wanasiasa wote pindi wanapokuwa wametia nia ya kutaka kuongoza nchi katika nafasi ya juu kabisa ya kisiasa duniani, kitu cha kwanza kabisa ni lazima mwanasiasa huyo awe na TEAM yake itakayomsaidia kufikia malengo yake ya kuongoza nchi, kama ndivyo ivyo basi #TEAM_YA_MAGUFULI ikiongozwa na secretariate ya CHAMA CHA MAPINDUZI imeshakwishajihakikishia ushindi mnono wa URAIS 25-10-2015 kutokana na kukubalika sana kwa mgombea wao JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI mabaye anaonekana kutokuwa na mpinzani katika nafasi hiyo baada ya mgombea wa UKAWA kuonekana kushindwa japo kumaliza tu kampeni zinazoendelea kutokana na afya yake kuzidi kuzorota kila siku hali inayowatia hofu VIONGOZI WAANDAMIZI WA UKAWA.

Narejea kwenye lengo la uzi huu la kuwaonesha WAZIRI MKUU wa serikali ya awamu ya tano ya CCM CHINI YA TINGATINGA DR JOHN POMBE MAGUFULI. waziri mkuu atatoka kati ya hawa watu makini watatu

1.DR HARRISSON GEORGE MWAKYEMBE

2.FIELD MARSHALL Mwigulu Nchemba

3.PROF.SOSPETER MUHONGO

Hivyo basi piga ua galagaza WAZIRI MKUU wa serikali ya awamu ya tano ya CCM CHINI YA TINGATINGA MAGUFULI atatoka kati ya huo UTATU MTAKATIFU.

By kawakama
Hiyo hata sisi wana UkAWA tumeiona kweli Mwakyembe anafaa na Magufuli ni mzuri ila tulikuwa tunaichukia ccm kwani sisi ni wapiga dili hivyo tuliona Magufuli atazuia dili zetu tule wapi aisii.
 
Back
Top Bottom