Elections 2015 Huyu ndiye Waziri Mkuu wa Magufuli

jamani ifike mahali watu mtumie akili yani mwakyembe awe pm, au mwigulu wote hao sijaona
 
Waziri mkuu wa chato au wapi wakuu?katiba inaruhusu serikali za vijiji kuwa na mawaziri wakuu siku hizi?

Usipate shida mkuu bado siku 13 magufuli aapishwe najua itauma dana lakini anza kujiandaa kisaikolojia
 
Ajipange tena ajiunge na chama cha upinzani la sivyo ataendelea kuota mchana
 
Usipate shida mkuu bado siku 13 magufuli aapishwe najua itauma dana lakini anza kujiandaa kisaikolojia

Waziri mkuu kimvuli, si unajua wapinzani huwa wanakuwa na kiongozi wa upinzani bungeni. Yeye huwa ndiye waziri mkuu.
 
Usipate shida mkuu bado siku 13 magufuli aapishwe najua itauma dana lakini anza kujiandaa kisaikolojia

Mfa maji.....!poleni sana kwa tukio litakalofuata baada ya 25/10/2015.mtatamani kulia.poleni sana ccm.
 
Wote ni unfit.
 
Vangimembe ana uzoefu wa mambo ya bunge na ni senior minister,kwa vigezo hapo hakuna wa kumfikia
 
William Lukuvi hajui kiingereza na Gufuli Hali kadhalika! Siijui wataongea nini wakienda UN au mialiko kimataifa! Aibuuuuu
 
Mwakyembe anafaa siyo mwoga ....spidi ya Magufuliii inatishaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…