G777
JF-Expert Member
- Aug 1, 2020
- 227
- 604
Alifundishwa wing chun na Yip man baada anasema traditional martial arts huwa ziko rigid zina kufunga kufanya baadhi ya mambo kwenye fight.Bruce Lee aliweka rekodi ya dunia baada ya kupiga 'push up' 200 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja na kurusha punje ya mchele hewani na kuidaka kwa kutumia kijiti chembamba cha kulia chakula (chop stick).
Bruce Lee alizaliwa tarehe 27 november 1940 California, Marekani na alifariki tarehe 20 July 1973 Hong Kong akiwa na miaka 32.
Bruce Lee nguvu ya ngumi yake (punching force) ilikuwa na kilo 158 sawa na Mohammed Ali, lakini maajabu Bruce Lee alikuwa na kilo 58 na Mohammed ali kilo 117.
Bruce Lee alikuwa na uwezo wa kupiga ngumi tisa kwa sekunde moja, na ngumi yake ya inchi moja (one inch punch) ilikuwa na uwezo wa kumrudisha nyuma mita 5-6 mwanaume mwenye kilo 68.
Alikuwa na uwezo wa kupiga mateke tisa kwa sekunde moja, alipiga teke kiroba cha mchanga chenye kilo 135 na kuruka urefu wa futi tano kwenda juu. Alikuwa na uwezo wa kufungua kizibo cha soda kwa kutumia vidole viwili.
Aliweka rekodi ya dunia kwa kupiga 'push up' 1500 kwa mikono miwili bila kupumzika, 'push up' 400 kwa mkono moja, 'push up' 200 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja, na 'push up' 100 kwa kidole gumba cha mkono moja.
Bruce Lee alikuwa mchina wa kwanza kurekodi filamu Hollywood Marekani katika sanaa ya kupigana (martial arts). Bruce Lee pekee ndiye alievunja rekodi ya dunia mara kumi ndani ya miaka 2 tu.
Mfano: wing chun ilikuwa haina high kicks pia haikuwa na wrestling techniques mwamba akaona avumbe new style ambayo ni jeet kune do(the way of intercepting fist or a kick kwa mujibu wake)
Jeek kune do(JKD) alibidi aiongeze vitu kutoka western boxing,grappling techniques,stance kutoka art moja inaitwa Fencing na mambo kibao ili tu kuweza kupambana mazingira yoyote Yale ambayo baadhi ya Chinese traditional arts zilikuwa hazina.
Bruce alisema "absorb what is useful and reject what is useless" akaenda mbali zaidi akasema "Use the way as no way"
Kwa mtu ambae ni martial artist mzuri anaelewa mchango wa Bruce Lee kwenye hii mambo.
Ahsanteni.