Huyu ndiyo Diamond, ukimuacha anakula shoga yako kwanza

Katika kusikia sikia habari za Diamond na vimada wake, nadhani ni Zari pekee ndie aliemuacha tandale boy.

Wengine wote diamond ndie aliewaacha.

Anyway, mambo yana wenyewe haya. Acha niwapishe!
 
Hapo kwa Kimnana pamenivutia..

Nimekumbuka kuna kipindi aliwahi kutusongea Ugali tukala na mbuzi pale Sinza (aliwahi kuishi Manyara Hotel).. Hata jina la Kimnana alijipachika kutoka kwa binti fulani hivi amecheza tamthiliya ya Kikorea inaitwa City Hunter kama sikosei..

Nilijua ipo siku na yeye atakuwa dada wa mjini. Stori zake tu.
 
Duuh we bora ungebaki Mtwara tu mjini panakuharibu sana😂😂
 
Mond anawakita kweli kweli na sijui kama anatumia buti
 
Ashakua wa mjini tayari huyo!!! Wadada wanatamani umaarufu sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…