GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tafadhali usinilazimishe nikaanza Kukudharau sawa? Anapokuwa anawapatanisha anavaa uhusika wa CCM yake au ile ya Rais Mstaafu? Mtaacha lini kuacha kuwa this Fool?Mkuu GENTAMYCINE H.E. Kikwete akiwa Tanzania ni MwanaCCM.
Utaona ugumu
Wa kuwakutanisha watoto wako muda ilifika
Naona Mheshimiwa baada ya GENTAMYCINE kukuanzishia huu Uzi Walinzi wako hapo Nairobi Kenya ulipo ( kama Kiongozi wa Uangalizi wa Uchaguzi Mkuu nchini Kenya ) wamekuambia na sasa umeona Nimekupiga Kwenyewe unaamua Kunijibu ukidhani sitokushtukia kuwa ni Wewe.Hahahaha 🤣 mzima ndio anajua huyu ni kichaa au lah. Kumbuka the guy aliwahi kutamka hadharani mwenyewe....usijotoe ufahamu
Hahahaha 🤣 mzima ndio anajua huyu ni kichaa au lah. Kumbuka the guy aliwahi kutamka hadharani mwenyewe....usijotoe ufahamu
Hahahahaaha kakimbia game? Yanga wakapigwa 2 o'clockNaona Mheshimiwa baada ya GENTAMYCINE kukuanzishia huu Uzi Walinzi wako hapo Nairobi Kenya ulipo ( kama Kiongozi wa Uangalizi wa Uchaguzi Mkuu nchini Kenya ) wamekuambia na sasa umeona Nimekupiga Kwenyewe unaamua Kunijibu ukidhani sitokushtukia kuwa ni Wewe.
Mheshimiwa Matokeo ya Timu yako ya Yanga SC ya Juzi dhidi ya Vipers FC unayo? Kama ulikuwa bado uko busy hapo Nairobi nakutaarifu kuwa Yanga SC yako ilishinda Goli 2 kwa 0 ma Magoli yenu walifunga Injinia Hersi Said na Mfungwa Haji Manara.
Upo sahihi kabisaMkuu GENTAMYCINE H.E. Kikwete akiwa Tanzania ni MwanaCCM.
Na kwa Kuogopa kificha Pesa alizowapiga Wanafiki na Wehu wengi Wanaompenda kule Switzerland (Geneva) Yeye kaamua Kuziweka (Kuzificha) Kuala Lumpur nchini Malaysia halafu anadhani Wenye Akili wachache hatuwezi Kujua (Kubaini)Huyo mzee sijawai kumkubali ni Rais ambae ana inferior complex kubwa sana ndio maana anaifanya familiar yke kuwa km Royal family..utajiri alikuwa nao mwanae ni wa kutisha vbaya mnooo
Mungu ameshaingilia ugomvi, hili lilikuwa ni swala la kiroho zaidi, alishapewa maono ni Mungu ndio anakuja kumaliza ubishi.Halafu wenye Akili kuwazidi tukiwa tunasema hapa hamna Mtu bali kuna Profesa wa Unafiki Tanzania nzima mnasema tuna Chuki nae Binafsi au tunatumika au ni Wadini na Wakabila.
Wenyewe Wavivu wa Kufikiri na mnaompenda mnamuita Mwamba wa Siasa na Diplomasia. Hivi inaingia Akili Mwamba na Bingwa wa Diplomasia akaweza Kutatua ya nchi nyingine ( jirani ) ila ya ndani ya nchi yake akayashindwa?
Haya nawasubiri sasa mje Kumtetea.
Siku zote wanao kutanishwa,ujuwe wako tayari kukutana wao Kama wao,na wasiyotaka kukutana hata ufanye nini hawakutani ngooo!!!Halafu wenye Akili kuwazidi tukiwa tunasema hapa hamna Mtu bali kuna Profesa wa Unafiki Tanzania nzima mnasema tuna Chuki nae Binafsi au tunatumika au ni Wadini na Wakabila.
Wenyewe Wavivu wa Kufikiri na mnaompenda mnamuita Mwamba wa Siasa na Diplomasia. Hivi inaingia Akili Mwamba na Bingwa wa Diplomasia akaweza Kutatua ya nchi nyingine ( jirani ) ila ya ndani ya nchi yake akayashindwa?
Haya nawasubiri sasa mje Kumtetea.
Hoyo kawaida kwa viongozi wa africaHuyo mzee sijawai kumkubali ni Rais ambae ana inferior complex kubwa sana ndio maana anaifanya familiar yke kuwa km Royal family..utajiri alikuwa nao mwanae ni wa kutisha vbaya mnooo