GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hahaaaaaaa naona Unajua mengi zaidi ya haya
Tutampa Mond Jr maziwa ya ng'ombe yee aende tu atakuwa ni muwakilishi wa wananchi huyu aliyeenda ni muwakilishi wa wenye nchi!Hawez hajamaliza kunyonyesha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji23] [emoji2]Kutoka juu
Kazi kwelikweliKateuliwa na mamlaka Kutoka juu
Kumbe anawalaga 😱Kwahiyo hata Yule Tanzania sweetheart kaliwa
Kumbe na Diana fundiYaani Wewe mpaka leo hujui ni jinsi gani hawa Wanyange / Walimbwende wanapatikana hasa kwa hapa nchini Tanzania? Acha utani bhana! Utendaji wako mkubwa wa ' Kibaiolojia ' kwa Wenye Kamati zao hasa uwapo nao ' Kitandani ' ndiyo ' Turufu ' yako ya ' Kutukuka ' ya Wewe kuibuka mshindi / kidedea. Naomba niishie hapa tafadhali.
wadau wamenyamaza hawanaga tena time isingekuwa uyo miss kupost hata wengine tusingejuaInabidi atoe tamko kwa wadau wa urembo