Fedor von Bock
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,321
- 2,157
Ana macho adimuJulitha Kabeta ni mrembo atakaye wakilisha Tanzania mwaka 2017 katika mashindano ya Miss World. Japo imeacha sitofahamu nyingi kwa wadau wa urembo kwa jinsi alivyopatikana. Tunamtakia kila la kheri katika kuipeperusha Bendera ya Tanzania.
View attachment 612341 View attachment 612342 View attachment 612343 View attachment 612344
Yawezekana anafanya dietLundenga mbona kakonda sana wakuu, kulikoni...?
Hivi Mabeto wa Mond hawezi kutuwakilisha?
Ungekuwa nafasi ya Lundenga ungemwacha? Acha kuuliza maswali yenye majibuLundenga hajala hako bado?
Huyu ndo Mabeto?