Huyu ndiyo muwakilishi Kutoka Tanzania atakayeshiriki Miss World 2017.

Huyu ndiyo muwakilishi Kutoka Tanzania atakayeshiriki Miss World 2017.

Naona Mwakyembe kashashinikiza Mwakibete mwenzie atuwakilishe teh teh teh
 
mmmhhh!! inamaana mimi ndo niko mbali na vyombo vya habari/mitandao ya kijamii!!!

Mbona sikusikia huo mchakato au aliteuliwa tu!!!
 
Hivi Mabeto wa Mond hawezi kutuwakilisha?
b822e8a664b77591f6ffe90f13fe86b8--african-models-african-men.jpg
 

Mtazame hapa diva The boss lady akitokwa na mapovu huko mtandaoni
 
Tulikaa na kamati Yangu tukamteua Mrembo huyo.
Tunabana bajeti, Pesa ambayo ingetumika kuandaa mashindano zimielekezwa kwenye ukarabati wa Monchwari ya hospital ya Kusikojulikana.

Kila la kheri Mrembo, unatufaa kutuletea Ubingwa.
 
Back
Top Bottom