Huyu ndo kiongozi wa kikundi cha kigaidi kinachoua polisi na kuiba silaha kwenye vituo nchini

Huyu ndo kiongozi wa kikundi cha kigaidi kinachoua polisi na kuiba silaha kwenye vituo nchini

Ingawa sikubaliani na njia hii ila Niliwahi kuandika humu,uminyaji wa haki utalipeleka taifa pabaya.Tuimarishe mifumo ya kutoa haki na taasisi za kidemokrasia

Ufashisti wa watawala na jeshi la polisi hauna tija

Kwako Gaidi kwa upande wao wanajiona wapigania haki na uhuru

usilete siasa za ccm na upinzani kwenye mambo ya msingi! Tumia akili
 
Hakika tumeshtuka na sasa ni kugawa elimu kwa wananchi wasiogope vitisho na wasianzishe fujo. Hii itasaidia kuiondoa ccm kimyakimya.Ushauri kwa viongozi wa upinzani.fundisheni wanachama taaaaatibu, tukutane na hawa wapuuzi kwenye box la kura.
 
Usalama wa taifa unatakiwa kuwajibika kwa hili ,kikosi cha kigaidi kinakuwa taratibu mwisho kitatumaliza,,,,,watu hawa wote wakikamatwa wachomwe hai kama pilot wa jordan
 
Wataalam wa lugha tuambieni, huyu jamaa mwenyeji wa wapi? mchaga akiongea tunajua, mzaramo tunajua, mndengereko, muhaya, msukuma, mngoni, mujita, mkurya, mnyaturu, muha, na wengineo. Huyu atakuwa mwenyeji wa mkoa gani?
 
usilete siasa za ccm na upinzani kwenye mambo ya msingi! Tumia akili

Tatizo la awa jamaa wa chadema ni kujifanya wao wanaijua siasa sana so ata kwenye mambo ya msingi ya usalama wa nchi kama haya wao wanaleta siasa zao za kichuochuo siasa za kulianzisha...Awam jamaa bado sana kupewa nchi japo wanaisaka kwa njia yoyote.
 
Hakika tumeshtuka na sasa ni kugawa elimu kwa wananchi wasiogope vitisho na wasianzishe fujo. Hii itasaidia kuiondoa ccm kimyakimya.Ushauri kwa viongozi wa upinzani.fundisheni wanachama taaaaatibu, tukutane na hawa wapuuzi kwenye box la kura.
Hivi mnaposemaga kugawa elimu kwa wananchi mnafikiri wananchi hawana uelewa au?wananchi uwadanganyi kitu wanajua vitu kuliko nyinyi mnavyofikiri sema hawajashwishika bado na nyinyi mmekaa kuhunihuni sana.
 
Hahari nyeti kama hii inatolewa na GPL?

hilo swali hata mimi najiuliza kwanza wameipata kwa njia gani aahhh!!!tuumize kichwa kufikiri GPL wameipataje? huyu mtu ni jina lake kweli? anahusika na mpango wa silaha kweli au SYSTEM ina fanya kazi? kama Ernest Mangu alitoa kaauli kuwa silahaa zimekamatwa ni kweli??

video inaonesha mtu anasema kuwa "kuna ndugu zetu wamekamatwa sehemu fulani "hivi anatengeneza mazingira gani kwa wale waliokamatwa??/
 
kulikua na sababu ipi ya kumfata na kuongea na shekhe mkuu kuhusu huyo bin abdallah?
 
kulikua na sababu ipi ya kumfata na kuongea na shekhe mkuu kuhusu huyo bin abdallah?

Video inamgusa shehe mkuu, hii waliyopost wameiedit sababu ya kuepusha uchochezi.
 
mm nadhani GPL wangetoa video yote sio hii waliyoedit

Kama u na mshikaji anapenda kwenda kwenye nyumba za ibada za katikati ya mji muagizie atakuletea zipo tele wanagaiana. Au muagizie Mohamed Said lazima atakuwa nao.
 
Last edited by a moderator:
Kama ni ya kweli ni vyema jeshi la polisi kuanza kufanya kazi iliyowapa ajira na sio kuzuia maandamano kwa misingi ya taarifa za kiitelejensia. Jeshi la polisi la marekani wana msemo "ukiona kitu sema kitu" kwa hiyo ni vyema wakashughulikia video hii kuliko kuipotezea, coz mdharau mwiba mguu uota tende.
 
Hatari....Kama habari Hi ina ukweli,
Maana kuna vijana kitandani wamechka na maisha long time wanaweza kuingia kwa kunde hilo kama sababu tu kufanya uhalifu
 
Hii kauli ya Sheikh mkuu inaacha maswali mengi sana..."Kwanza hizo taarifa hizo ndiyo nazisikia kutoka kwako. Hilo jina ulilonitajia (Bin Abdullah) sijawahi kulisikia labda muangalie kwa wenzetu upande wa pili.”

upande wa pili si zanzibar au?
chanzo tu cha habari kinafanya habari nzima isiaminike.
 
Nina wasiwasi hii ni janja ya ccm kutuogopesha ili tusijitokeze kwenywe uchaguzi. Lazima tuhakikishe tunasimama imara kuwang'oa pamoja na vitisho vyao. Mungu ibariki Tanzania.

Wewe kilaza mawazo yako kwenye siasa tu rudi shule ukapate elimu


Kazi kukaa kwenye key board kuandika utumbo mpuuzi kweli

Watu kama nyinyi mnahitajika mkalime siujui unatafuta nini mjini?

Mods angalieni vibaka kama hawa
 
Islamic terrorists ni tofauti na "magaidi" wengine kama kina Mandela au FDLR. "haki" na "uhuru" wanaopigania ni sheria zao kutumika kwa wenzao.

Unafanya kosa kubwa sana kujumuisha ugaidi wa kidini na haki na demokrasia. If they have their way hizo haki na demokrasia unazo-refer to hazitakuwapo tena. Mfano:

ISIS walifadhiliwa na watu kama wewe waliodhani jamaa wanampinga bashar ambaye alikuwa dikteta, leo hiii bashar amekuwa afadhali ya ISIS...

Security analysis haitaki inclination!!! Wao "wamedai" hakuna uthibitisho bado wa madai yao!!! Ugaidi ni biased terminology yeyote alitumiaye lazima aseme anamaanisha nini sasa wewe islamic terrorism ni nini??!!!

Kwa uwezo wako huu habari ya ISIS utalisha watu kasa tu hapa.
 
Haki ya aliye juu, hawa watu wakirembuliwa macho watachafua hii nchi. Wanatakiwa wachukuliwe hatua kali sana iwe fundisho.
 
Kama ni ya kweli ni vyema jeshi la polisi kuanza kufanya kazi iliyowapa ajira na sio kuzuia maandamano kwa misingi ya taarifa za kiitelejensia. Jeshi la polisi la marekani wana msemo "ukiona kitu sema kitu" kwa hiyo ni vyema wakashughulikia video hii kuliko kuipotezea, coz mdharau mwiba mguu uota tende.

Ni kweli tusinyamaze, tutoe taarifa
 
Back
Top Bottom