kisikiji
JF-Expert Member
- Feb 2, 2015
- 2,530
- 2,494
Hivi mnaposemaga kugawa elimu kwa wananchi mnafikiri wananchi hawana uelewa au? wananchi uwadanganyi kitu wanajua vitu kuliko nyinyi mnavyofikiri sema hawajashwishika bado na nyinyi mmekaa kuhunihuni sana.
Tunapozungumzia elimu, hatumaanishi ya darasani.tunamaanisha uelewa wa maslahi ya kila mtanzania.Ila kwakua wewe umeweka maslahi binafsi unataka kupotosha watu kua tunawaona hawana elimu
1: Hebu fikiri Mwananchi wa kawaida anawezaje kuiba silaha kwa kisu/panga?2: Polisi wanashindwaje kuwakamata?.3: Unahakika polisi hawawajui?. Kama wanawaju, kwanini hawawakamati na kuihakikishia jamii. Tafakari.