Watanzania:-
1. Haya mambo ya waislam kutufanyia fujo yameandaliwa kwa miaka sasa. Serikali mnafiki wamekuwa wakiziona hizi harakati lakini hakuna aliyeona uzito wake kwa taifa. Walibaki kuchekacheka na kujinafikisha kisiasa. Tunahitaji uongozi Imara na uliotayari kutetea katiba ya nchi na maslahi ya taifa kwa nguvu na gharama zozote zinazohitajika.
2. Inabidi TISS na vyombo vyote vya usalama, vifanye kazi na si propaganda wakti taifa linaangamia. Taarifa na majingambo ya uwongo ili kujenga sifa huku mkijua hamjatatua tatizo, ni upuuzi usiostahimilika. Watanzania tunahitaji matokeo ya kazi na si majigambo kwamba mmekamata silaha na mtandao ili kujitafutia sifa wakati kazi hamjaifanikisha. Acheni ukova wa kutaka kujenga majina kwenye media huku hali ya usalama inazorota. Ni wakati wa kuacha kufukazana na vyama vya upinzani, na muelekeze nguvu zetu kwenye matukio ya kiharifu kama haya.
Vinginevyo ijulikane kama ninyi mko maalumu kwa kulinda ccm dhidi ya adui zenu vyama vya upinzani hasa UKAWA na wananchi wazalendo ili sis wananchi tuachane na ninyi, tuunde majeshi yetu ya ulinzi yatakayokuwepo kwa ajili ya usalama wetu tusio kuwa wanaccm.
3. Huyu Shehe mkuu kusema ndio analisikia hili suala kwa mwandishi wa ijumaa, na kusema waulize upande wa pili, ni ujumbe tosha kwama Uislam siyo taasisi inayoeleweka wala haiwezi kuaminika kwa sababu, ina dhana nyingi zinazopingana zinazoaksi tofauti kubwa miongoni mwao ambazo hata waislam wenyewe hawana uwezo wa kuzimaliza kwa njia yoyote wakiwa wote hai.
4. Angalizo kubwa, SERIKALI YA TANZANIA IPATE FUNDISHO KUBWA SANA KWA KILE ILICHOKUWA INAKILAZIMISHA CHA KUJIINGIZA KWENYE MASUALA Y A DNI YA KIISLAM NA KUJIHUSISHA NA MAMBO YAO YA IBADA NA MAHAKAMA YA KADHI.
Mungu ameruhusu hili tukio lijulikane mapema ili serikali kiziwi, ifahamu kwamba usalama wa nchi, utaendelea kuimarika tu pale serikali itakuwa na nia ya kusimama kama mtawala asiyefungamana na upande wa dini yoyote ili izidi kuwa na uhalali na uwezo wa kushughulika na imani zinazopelekea kuhatarisha usalama wa nchi na ama kwenda kinyume na katiba.
NINADHANI UJUMBE UMEFIKA.