Huyu ndo kiongozi wa kikundi cha kigaidi kinachoua polisi na kuiba silaha kwenye vituo nchini

Huyu ndo kiongozi wa kikundi cha kigaidi kinachoua polisi na kuiba silaha kwenye vituo nchini

Wanasiasa wapumbavu sana ni juzi tu kuna mmoja amedhihirisha kiwango cha upumbavu wake kwa kukandia jitihada za serikali kuimarisha ulinzi wa raia eti haoni umuhimu wa vituo vya polisi nchini.

Amwambia sasa mama yake alisake hili gaidi linalol-battle government.

Hizi siasa za kipumbavu muda si mrefu tutagawana mbao.
 
Hakuna wa kutoa ivo vitisho..usalama Upo macho na wala asijidanganye....wananchi kuweni na Amani lakini macho na wafitini kama hawa
 
Kuna mengi ya kufanyiwa kazi kuhusu hii clip kabla ya kuanza kuwahukumu watu kwa imani zao. Intelligency kazi kwenu maana huu ni mwaka wa majanga mengi. Yawezekana akawa mwislam na yawezekana akawa si mwislam.
 

HATIMAYE kuvamiwa kwa vituo vya polisi na kuporwa silaha huku askari wake wakiuawa kikatili kumejulikana kunafanywa na nani kufuatia gazeti hili kunasa mkanda wa video wa mtu mmoja anayejiita Kaisi Bin Abdullah akijitapa kufanya hivyo kwa lengo la kukusanya silaha ili kulipa kisasi siku si nyingi!



Chanzo:
GPL
Jamaa kumbe ni wa ile dini ya ISIS
 
Amani haiwezi kutoeka tanzania

Mkuu tupo macho 24/7 hakuna mtu yoyote atakaeleta ujinga

Wewe mkuu kunywa viroba kuwana amani

eti amani haiewezi kutoweka Tanzania ........ivory ilikuwa moja ya nchi ya amani tu lakini iliharibika mbaya......chochote kinaweza kutokea.....hivi muda wote huu hao waporaji katika kituo cha polisi ikwiriri hawajakamatwa
 
Ni bora tuanze na hao waliopeleka mkanda, wao wamepata kwa nani, na huyo naye katoa kwa nani, huyo mtu atapatikana tu
 
Kwani munawaogopa waislam? Nyinyi si mpo wengi nchi hii kweli mnatishika kwa bunduki tano hizi habari zenu zinakuaga mzaa ila mwisho wake ni mbaya sana.

Kwa hiyo ndio maana kwenye sensa mlikataa kuhesabiwa kwa kuwa mlikuwa na malengo haya.
 
Kuweni makini Watanzania na Video kama hizi kwani inaweza ikawa ni mchezo wa kuwagombanisha Watanzania kwa kuiga masuala ya ugaidi yanayo endelea Duniani.

Hakuna ukweli wowote wa hii Video ni maneno ya mtu alie ficha sura yake na huenda ikawa ni Polisi wenyewe wanacheza mchezo huu ili tu waweze kuwapiganisha Watanzania kwa mgongo wa Dini kwani ndio unatumika zaidi na Wanasiasa Duniani.

Ukweli ni kwamba Tanzania inamatatizo ya kisiasa ila kwakuwa chama tawala kinaonekana kukosa nguvu hivo wanaweza kutumia mbinu yoyote kuwapotezea Watanzania kile wanacho kiamini kitaweza kuwaletea mabadilko.

Unataka kutuzubaisha tu, huo ndio ukweli na wao wanadhani wanapigana kwa ajili ya Allah, kumbe wanatumiwa bila kujitambua.
 
Polisi hawawezi kujitenga na raia halafu wakashinda vita km hii.

Kuna kitu kinaitwa "THEORY OF STAKEHOLDERS IDENTIFICATION AND SALIENCE"
Hapa vitu vitayu POWER,LEGITIMACY NA URGENCY.

Kuminywa kwa haki za raia ndio chanzo cha raia kuanza kutumia nguvu "POWER" kushinikiza wasikilizwe au mambo yao yatekezwe au haki zao wazipate. Hapa utawala utashurutishwa kutekeleza wanachokitaka na hapa ile dhana ya "KUTII BILA SHURUTI" haina maana tena kwani shuruti ndio imeshika hatamu.

Labda niwakumbushe juu ya Yusuf Mohamed aliyekuwa kiongozi wa Boko Haram alikuwa akishinikiza maendeleo katika jimbo la Maiduguri lililosahaulika kimaendeleo ya kila namna na kukomeshwa kwa ukandamizi uliofanywa na dola kwa watu wa jamii hiyo,huyu mtu alikamatwa na kuuawa mikononi mwa polisi akiwa na pingu mikononi. Aboukar Shakau akachukua hata na kuanza kushinikiza kwa nguvu "POWER" akiwa na "STAKEHOLDERS" wengine. Nadhani mnajua kinachoendelea.

Hapa kwetu tumelia sana juu ya ukandamizaji wa haki za raia na sasa nguvu inatumika (MUNGU ATUEPUSHE).
LEGITIMACY(POLISI) na URGENCY(VIONGOZI WA SERIKALI) nadhani watakuwa wahanga wa hili suala. Serikali itumie busara kubwa kutatua hili suala na lazima irudi kwa wananchi maana bila hivyo watabaki kuwa wahanga na wananchi wanawaona polisi na viongozi wa serikali km maadui.
SERIKALI NDIO WACHOCHEZI WA HILI SUALA
 
hahahaaa ila mkuu matumbo signature yako mie hoi...eti ngumi nauza bure....:lol:
 
Last edited by a moderator:
Hata Boko Haram walianza hivi hivi. Tena ngome ya hawa wahalifu ni huko kusini kwenye gesi. Kama ni mradi wa ccm basi ni hatari. Jeshi la polisi lichukue nafasi yake sasa maana hakuna Mungu anayeweza kutetea huu ujinga
 
Wameweza kuchukua silaha mikononi mwa polisic wakiwa hawana silaha??????? mbona naskia walikuwa na mapanga na visu inamana visu siosilaha??.

Hapo sasa hata mie niliona picha ya askari aliyopigwa kule ikwiriri alikatwa na mapanga sasa hayo si silaha????? Au silaha ni mpaka bunduki au bastola??????
 
Kwa uelewa wangu, hapa Tanzania ni aghalabu kuwa na jina Abdullah, haya majina kwa Tanzania yametoholewa kuwa Abdallah, nipo tayari kurekebishwa
 
nyie puuzieni ndugu katika imani hawanaga masihara.
 
Yote haya yanatokea kwasababu ya usanii wa rais tuliyenaye.Nyerere alituonya lakini hatumkusikiliza,wacha tuvune tulichopanda!

Nyerere alisema "haya mambo yasiposimamiwa yatarudi........" (udini na ukabila). Sasa hivi tumeanza kuyashuhudia,viongozi wetu wanatulet down sana,wao wanajua kabisa vijana kama bin abdulah walikuwa wadogo sana kipindi cha nyerere hivyo wanapaswa kuendelea kuhubiri falsafa hiyo ya nyerere muda woteeeee,lakini alivyo ondoka tu duniani mambo yakaanza,inasikitisha sanaaaa.
 
Back
Top Bottom