Huyu ndo kiongozi wa kikundi cha kigaidi kinachoua polisi na kuiba silaha kwenye vituo nchini

Huyu ndo kiongozi wa kikundi cha kigaidi kinachoua polisi na kuiba silaha kwenye vituo nchini

Bado haingii akilini,namsihi IGP mangu aanza kumkamata shigongo,inakuwaje mtu anaenda kumpelekea video na kumkabidhi bila kufanya jitihada zozote za kumtrace huyo mtu anapoenda hili wamtie mikononi mwa polisi? kama alikataa kupigwa picha kwanini asitumie timu yake ya OFM waje kumkamata wakati akiwa BAMAGA?

Hii video hipo mtaani ukiitaka utaipata...sema vigezo na masharti lazima yazingatiwe.
 
Huyu jamaa anadai badi silaha zote zilizoibwa vituon bado wanazo na haijapatikana kama inavyodaiwa....

Anasema muda wa kuzitumia unakuja...
Kama kuna mwenye uwezo wa kui upload anipe no yake.
 
Kuna video hapa mkuu....kama kuna mwenye uwezo wa kuweka.....hapa....anitumie no
 
Tatizo tunapenda kuzunguka mbuyu wakati chanzo kinajulikana. Chanzo ni verse za Quran, haijalishi katafsiri vipi, yeye ataanza kufuata mafunzo. Wewe ujiulizi kwanini hawa watu wanakuwa ni wafuasi wa dini ile ile?, Sasa hivi Uislam umegeuka kuwa Jeshi lenye Imani

mkuu ni vema ukafanya research na kujua root cause ya ugaidi duniani kabla ya kugeneralise kuwa waislam na uislam ndio tatizo.Ni kweli uislam unatumika sana na magaidi lakini ni hekima kujiuliza kama uislam kama dini unahusika kuwatuma hao magaidi.Labda kosa kubwa tunalofanya sisi raia wema ni kukubali kugawanyika katika makundi ya udini,utaifa,ukabila,badala ya kusimama pamoja na kupambana na hawa wahuni.

Uovu hauna dini. Ugaidi ndani ya uislamu umepandikizwa, for a purpose very destructive kwa uislam wenyewe,dini zote za Ibrahim na ustawi wa binadamu kwa ujumla. Huu ni mkakati na ndio maana unalipuka kwa wakati mmoja worldwide.
 
Na kwa mfano tu,bwana kakende,yule kamanda mkuu wa ISIS,Al Baghdad ni mhitimu wa ujasusi toka MOSSAD
 
Watanzania:-

1. Haya mambo ya waislam kutufanyia fujo yameandaliwa kwa miaka sasa. Serikali mnafiki wamekuwa wakiziona hizi harakati lakini hakuna aliyeona uzito wake kwa taifa. Walibaki kuchekacheka na kujinafikisha kisiasa. Tunahitaji uongozi Imara na uliotayari kutetea katiba ya nchi na maslahi ya taifa kwa nguvu na gharama zozote zinazohitajika.

2. Inabidi TISS na vyombo vyote vya usalama, vifanye kazi na si propaganda wakti taifa linaangamia. Taarifa na majingambo ya uwongo ili kujenga sifa huku mkijua hamjatatua tatizo, ni upuuzi usiostahimilika. Watanzania tunahitaji matokeo ya kazi na si majigambo kwamba mmekamata silaha na mtandao ili kujitafutia sifa wakati kazi hamjaifanikisha. Acheni ukova wa kutaka kujenga majina kwenye media huku hali ya usalama inazorota. Ni wakati wa kuacha kufukazana na vyama vya upinzani, na muelekeze nguvu zetu kwenye matukio ya kiharifu kama haya.

Vinginevyo ijulikane kama ninyi mko maalumu kwa kulinda ccm dhidi ya adui zenu vyama vya upinzani hasa UKAWA na wananchi wazalendo ili sis wananchi tuachane na ninyi, tuunde majeshi yetu ya ulinzi yatakayokuwepo kwa ajili ya usalama wetu tusio kuwa wanaccm.

3. Huyu Shehe mkuu kusema ndio analisikia hili suala kwa mwandishi wa ijumaa, na kusema waulize upande wa pili, ni ujumbe tosha kwama Uislam siyo taasisi inayoeleweka wala haiwezi kuaminika kwa sababu, ina dhana nyingi zinazopingana zinazoaksi tofauti kubwa miongoni mwao ambazo hata waislam wenyewe hawana uwezo wa kuzimaliza kwa njia yoyote wakiwa wote hai.

4. Angalizo kubwa, SERIKALI YA TANZANIA IPATE FUNDISHO KUBWA SANA KWA KILE ILICHOKUWA INAKILAZIMISHA CHA KUJIINGIZA KWENYE MASUALA Y A DNI YA KIISLAM NA KUJIHUSISHA NA MAMBO YAO YA IBADA NA MAHAKAMA YA KADHI.

Mungu ameruhusu hili tukio lijulikane mapema ili serikali kiziwi, ifahamu kwamba usalama wa nchi, utaendelea kuimarika tu pale serikali itakuwa na nia ya kusimama kama mtawala asiyefungamana na upande wa dini yoyote ili izidi kuwa na uhalali na uwezo wa kushughulika na imani zinazopelekea kuhatarisha usalama wa nchi na ama kwenda kinyume na katiba.

NINADHANI UJUMBE UMEFIKA.
 
Tanzania kwa sasa kuna magaidi wa kichinichini, jeshi la polisi na raia wema kwa pamoja tushirikiane otherwise siku moja hapatakalika huku nchini.

Polisi hawa hawa wanaotupiga ndo tushirikiane nao?Wacha wafanye kazi yao wenyewe!
 
Kusema ukweli hiyo video siimani kwa sababu nikikumbuka yale ya kina dr ulimboka na mento fresh aliyetengenezwa kwenda kujisalimisha kwa mch gwajma huku mkuu wa mji akitoka kifua mbele kwenye luninga kuwa wamemkamata gaidi mwisho wa siku anakujaonekana hana hatia aisee jirani zetu Kenya huwa wakituangalia wanashindwa kutumaliza kusoma mali sana kwa haya mazingaombwe yanayojiri kila uchwao bado safari ni ndefu sana kuufika nchi ya asali na maziwa wengi tupo peku kwenye uwanja uwanja uliojaa ndezi huku wachache wakiwa na viatu halafu wote tunaambiwa tukimbie Mungu ibariki Tanzania.
 
Anasema ikwiriri walichukua silaha na mabomu yakutosa, Hivi kituo cha polisi kinakuwa na mabomu ya mchozi au ya kivita?
 
Security analysis haitaki inclination!!! Wao "wamedai" hakuna uthibitisho bado wa madai yao!!! Ugaidi ni biased terminology yeyote alitumiaye lazima aseme anamaanisha nini sasa wewe islamic terrorism ni nini??!!!

Kwa uwezo wako huu habari ya ISIS utalisha watu kasa tu hapa.

namaanisha hiki, kama hiki sio islamic terrorism basi sawa.
[video=youtube_share;3D_8YwTzAPQ]http://youtu.be/3D_8YwTzAPQ[/video]
 
Hapa ndipo uzalendo wahitajika lolote baya kuwahi kutaarifu mie mwislam tena mwenye zoote sifa kamwe siwezi toa nafsiya mwandam nisie na chukinae tujumuike kuilinda nchi yetu tutakae adhirika nisie raia
 
Nina wasiwasi hii ni janja ya ccm kutuogopesha ili tusijitokeze kwenywe uchaguzi. Lazima tuhakikishe tunasimama imara kuwang'oa pamoja na vitisho vyao. Mungu ibariki Tanzania.

We nawe ni msengerema nini? we mtu anatoa vitisho we unaleta mambo ya kingese hapa, ccm inahusika na nini kwenye ishu kama hii..!? jadili hili suala kwa mapana sio umeshajitundikia drip ya kiroba ndio unakurupuka kucomment..!!
 
Kusema ukweli hiyo video siimani kwa sababu nikikumbuka yale ya kina dr ulimboka na mento fresh aliyetengenezwa kwenda kujisalimisha kwa mch gwajma huku mkuu wa mji akitoka kifua mbele kwenye luninga kuwa wamemkamata gaidi mwisho wa siku anakujaonekana hana hatia aisee jirani zetu Kenya huwa wakituangalia wanashindwa kutumaliza kusoma mali sana kwa haya mazingaombwe yanayojiri kila uchwao bado safari ni ndefu sana kuufika nchi ya asali na maziwa wengi tupo peku kwenye uwanja uwanja uliojaa ndezi huku wachache wakiwa na viatu halafu wote tunaambiwa tukimbie Mungu ibariki Tanzania.

Bila shaka huamini kwamba vituo vya Polisi vilivamiwa,Polisi kuuawa na Vifaa vya kivita kuchukuliwa.Vilevile sidhani kama unaamini kwamba kuna Makundi ya Boko Haram na ISIS.Mwanzo wa Ngoma ni lele.Hii ni kampeni ya kusilimisha Dunia.
 
Sasa mimi nakwambia hiyo video ipo ila vigezo na masharti kuzingatiwa.

Nitaipataje hiyo original ya dakika 11? ile ya shigongo ina dakika tatu,weka link au upload youtube/mediafire/hulkshare/eastafricantube utupe link,usiogope mbona shigongo alienda kumpa mangu mbona hawajamkamata?
 
Back
Top Bottom