mkuu ni vema ukafanya research na kujua root cause ya ugaidi duniani kabla ya kugeneralise kuwa waislam na uislam ndio tatizo.Ni kweli uislam unatumika sana na magaidi lakini ni hekima kujiuliza kama uislam kama dini unahusika kuwatuma hao magaidi.Labda kosa kubwa tunalofanya sisi raia wema ni kukubali kugawanyika katika makundi ya udini,utaifa,ukabila,badala ya kusimama pamoja na kupambana na hawa wahuni.Uovu hauna dini.Ugaidi ndani ya uislamu umepandikizwa,for a purpose very destructive kwa uislam wenyewe,dini zote za Ibrahim na ustawi wa binadamu kwa ujumla.Huu ni mkakati na ndio maana unalipuka kwa wakati mmoja worldwide.