Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Ingawa sikubaliani na njia hii ila Niliwahi kuandika humu,uminyaji wa haki utalipeleka taifa pabaya.Tuimarishe mifumo ya kutoa haki na taasisi za kidemokrasia
Ufashisti wa watawala na jeshi la polisi hauna tija
Kwako Gaidi kwa upande wao wanajiona wapigania haki na uhuru
usilete siasa za ccm na upinzani kwenye mambo ya msingi! Tumia akili
Hivi mnaposemaga kugawa elimu kwa wananchi mnafikiri wananchi hawana uelewa au?wananchi uwadanganyi kitu wanajua vitu kuliko nyinyi mnavyofikiri sema hawajashwishika bado na nyinyi mmekaa kuhunihuni sana.Hakika tumeshtuka na sasa ni kugawa elimu kwa wananchi wasiogope vitisho na wasianzishe fujo. Hii itasaidia kuiondoa ccm kimyakimya.Ushauri kwa viongozi wa upinzani.fundisheni wanachama taaaaatibu, tukutane na hawa wapuuzi kwenye box la kura.
Hahari nyeti kama hii inatolewa na GPL?
hawana mda mrefu watakwisha tu polisi siyo wa kutishiwa nyau kirahisi.
mm nadhani GPL wangetoa video yote sio hii waliyoedit
Hii kauli ya Sheikh mkuu inaacha maswali mengi sana..."Kwanza hizo taarifa hizo ndiyo nazisikia kutoka kwako. Hilo jina ulilonitajia (Bin Abdullah) sijawahi kulisikia labda muangalie kwa wenzetu upande wa pili.
Nina wasiwasi hii ni janja ya ccm kutuogopesha ili tusijitokeze kwenywe uchaguzi. Lazima tuhakikishe tunasimama imara kuwang'oa pamoja na vitisho vyao. Mungu ibariki Tanzania.
Islamic terrorists ni tofauti na "magaidi" wengine kama kina Mandela au FDLR. "haki" na "uhuru" wanaopigania ni sheria zao kutumika kwa wenzao.
Unafanya kosa kubwa sana kujumuisha ugaidi wa kidini na haki na demokrasia. If they have their way hizo haki na demokrasia unazo-refer to hazitakuwapo tena. Mfano:
ISIS walifadhiliwa na watu kama wewe waliodhani jamaa wanampinga bashar ambaye alikuwa dikteta, leo hiii bashar amekuwa afadhali ya ISIS...
Kama ni ya kweli ni vyema jeshi la polisi kuanza kufanya kazi iliyowapa ajira na sio kuzuia maandamano kwa misingi ya taarifa za kiitelejensia. Jeshi la polisi la marekani wana msemo "ukiona kitu sema kitu" kwa hiyo ni vyema wakashughulikia video hii kuliko kuipotezea, coz mdharau mwiba mguu uota tende.