Huyu ndo kiongozi wa kikundi cha kigaidi kinachoua polisi na kuiba silaha kwenye vituo nchini

Huyu ndo kiongozi wa kikundi cha kigaidi kinachoua polisi na kuiba silaha kwenye vituo nchini

Taarifa za ndani kuhusu uvamizi wa Vituo vya Polisi ni pamoja na Fitina iliyopo ndani ya Polisi na huo udhaifu wa Polisi
Sasa ni jambo la ajabu kwamba Gaidi anasema vituo vya polisi ni dhaifi wakati hilo ndo Mtaji wake!!
Hata hivyo Chuki ya UDINI inayotajwa ni ile dhidi ya Mfumo Kristo sasa kwa nini Hao Magaidi walio upande wa Dini ya Kiislamu wafanye Ugaidi katika Maneo yenye Uislam na Kuacha Ukristo??
Angalia Maeneo yaliyo athiriwa ni
MKOA WA PWANI
IKWIRIRI
TANGA
SONGEA Huko kwenye Gasi

Sasa kwa nini wamefanya Ugaidi maeneo hayo ???
Wanaposema Polisi ni Dhaifu inamaana Polisi wa Maeneo ya Kiislamu ndo dhaifu?? Na kwa nini??


Kiini macho, aweza kuwa yeyote, na yaweza kuwa Vyovyote, ila ili ikubalike basi kama kawaida "ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya"
 
Taarifa za ndani kuhusu uvamizi wa Vituo vya Polisi ni pamoja na Fitina iliyopo ndani ya Polisi na huo udhaifu wa Polisi
Sasa ni jambo la ajabu kwamba Gaidi anasema vituo vya polisi ni dhaifi wakati hilo ndo Mtaji wake!!
Hata hivyo Chuki ya UDINI inayotajwa ni ile dhidi ya Mfumo Kristo sasa kwa nini Hao Magaidi walio upande wa Dini ya Kiislamu wafanye Ugaidi katika Maneo yenye Uislam na Kuacha Ukristo??
Angalia Maeneo yaliyo athiriwa ni
MKOA WA PWANI
IKWIRIRI
TANGA
SONGEA Huko kwenye Gasi

Sasa kwa nini wamefanya Ugaidi maeneo hayo ???
Wanaposema Polisi ni Dhaifu inamaana Polisi wa Maeneo ya Kiislamu ndo dhaifu?? Na kwa nini??



Ndugu hebu tafakari zaidi.
Unategemea magaidi wanaojiunganisha na uislam wangejenga kambi kule Marangu sehemu yenye wakristo wengi ? Hii si sawa na mtu kujificha kwenye nyasi fupi za uwanja wa mpira.

Hawa wanaishi sehemu zenye watu wengi wa imani yao ili wapate kuungwa mkono na kutetewa kwamba ni waumini wa kawaida na wanaokamatwa waonekane kama wanaonewa.
 






HATIMAYE kuvamiwa kwa vituo vya polisi na kuporwa silaha huku askari wake wakiuawa kikatili kumejulikana kunafanywa na nani kufuatia gazeti hili kunasa mkanda wa video wa mtu mmoja anayejiita Kaisi Bin Abdullah akijitapa kufanya hivyo kwa lengo la kukusanya silaha ili kulipa kisasi siku si nyingi!


Ijumaa liliunasa mkanda huo kutoka kwa mtu mmoja aliyekataa kujitambulisha kwa jina wala kusema anakotokea hapa nchini huku akisema: “Una maneno ya hatari sana, naogopa kujianika, nitauawa.”

Hatimaye kuvamiwa kwa vituo vya polisi na kuporwa silaha huku askari wake wakiuawa kikatili kumejulikana kunafanywa na nani kufuatia gazeti la Ijumaa kunasa mkanda wa video wa mtu mmoja anayejiita Kaisi Bin Abdullah akijitapa kufanya hivyo kwa lengo la kukusanya silaha ili kulipa kisasi siku si nyingi!

Gazeti hilo linadai kuunasa mkanda huo kutoka kwa mtu mmoja aliyekataa kujitambulisha kwa jina wala kusema anakotokea hapa nchini.

Bin Abdullah ametumia dakika 11: 03 kuzungumzia mambo mbalimbali lakini kubwa kuliko yote ni kuliponda Jeshi la Polisi Tanzania kwa kuwakamata wenzao katika imani na harakati (zinazohifadhiwa kwa sasa) na kuwashikilia kwenye mahabusu mbalimbali nchini.

Alianza kwa Kusema:
Bin Abullah ambaye kwenye mkanda huo amevaa nguo nyeusi kama ninja na miwani ya giza, alizungumza kwa kirefu, akitoa wito lakini mbele akasema:

“Tumeshaungana ili kupambana. Mkoa wa Mtwara zaidi ya wenzetu kumi na saba walikamatwa kwa makosa ya dhuluma, makosa ya kupanga, makosa ya ugaidi.

Ishirini na moja wamekamatwa Zanzibar wako katika Gereza la Segerea (Dar). Wenzetu wengine kumi na nane wamekamatwa Mwanza wako katika Gereza la Kisongo, Arusha. Ndugu zangu, wenzetu wengine kumi na saba wameuawa Mtwara kwa amri ya ...(anamtaja waziri).” “Subira yetu imefika mwisho na tulichokuwa tunasubiri Mungu ameshatupa. Tunatoa ahadi kilichopo hivi sasa tunatoboa jahazi wote tuzame.

“Tunatoa rai, wenzetu waliopo Gereza la Kisongo waachiwe huru. Hapa hatumtishi mtu yeyote yule.”“Pili, agizo la Ernest Mangu IGP, umetangaza uliwenguni kwamba umewakamata wote waliovamia vituo vya polisi na umezikamata silaha zote. Ukweli ni kwamba unatetea tumbo lako. Hakuna mtu hata mmoja aliyekamatwa na wala silaha hazijakamatwa.

“Mungu ametukubali. Katika Kituo cha Polisi Ushirombo (Kilimanjaro) tumeweza kuvamia kituo, tukaweza kutoa roho za polisi na tukaweza kuchukua silaha, tunazo.

“Tumevamia Kituo cha Polisi Ikwiriri (Pwani), tumeweza kuchukua silaha za kutosha, tumeweza kuchukua mabomu ya kutosha. Tunazo silaha tunasubiri muda zianze kufanya kazi.“Ernest Mangu nakupa changamogto, hivi sasa tuna uwezo...(maneno yanahifadhiwa kwa usalama) wakati wowote ambao tunataka.

“Tumeweza kuchukua silaha bila kuwa na silaha yoyote. Ndugu zetu wa Tanga wameweza kuchukua silaha wakiwa hawana silaha yoyote. Ikwiriri tumechukua silaha tukiwa hatuna silaha yoyote, mpaka sasa tumeshachukua roho tano za polisi.“Ndugu zangu, ...mlikuwa mkinisubiri nitoe tamko, natoa kauli rasmi...” alihitimisha Abdullah, huku vitisho vya jumla kwenye tamko lake vikiwahusu polisi, viongozi wa ngazi za juu serikalini pamoja na mikusanyiko ya ibada.

Tamko la IGP

Baada ya video hiyo,Gazeti la Ijumaa lilimtafuta Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu na kuzungumza naye kuhusu mtu huyo na kumkabidhi video ambapo alisema: “Nawashukuru sana kwa kuleta video hii, huu ndiyo ushirikiano unaotakiwa, nawaomba wananchi video za aina hii wazikatae kwa sababu ni kosa kuwa nazo na watu kadhaa wameshakamatwa kwa kuwa nazo.

“Sisi kama jeshi la polisi tunajua kuwa kuna watu wanadhani kufanya uhalifu kama huo kutawasaidia kutimiza matakwa yao, lakini ukweli ni kwamba polisi wapo imara na nina uhakika watuhumiwa watakamatwa kwa kushirikiana na raia wema.”

Shehe Mkuu Amkana

Baada ya kuzungumza na IGP, Gazeti lilimtafuta Shehe Mkuu Tanzania, Mufti Shaban Simba na kumsimulia kuhusu kuibuka kwa Bin Abullah na kutaka kujua pengine anamfahamu. “Kwanza hizo taarifa hizo ndiyo nazisikia kutoka kwako. Hilo jina ulilonitajia (Bin Abdullah) sijawahi kulisikia labda muangalie kwa wenzetu upande wa pili.”


Chanzo:
GPL


mtwara ni eneo la kumulikwa sana na vyombo vya usalama, ni eneo la kumulikwa sana!!!!

Ingawa sikubaliani na njia hii ila Niliwahi kuandika humu,uminyaji wa haki utalipeleka taifa pabaya.Tuimarishe mifumo ya kutoa haki na taasisi za kidemokrasia

Ufashisti wa watawala na jeshi la polisi hauna tija

Kwako Gaidi kwa upande wao wanajiona wapigania haki na uhuru



Nini kifanyike!!
Hawa watu sio majambazi ni wajahidina kama walivyojiita.
Wakimaliza kuwaua polisi wataanza kulipua misikiti na makanisa ,hapo nani atapona?

Toa maoni ya namna ya kuzuia hili wimbi kubwa la vijana wanaojificha kwenye dini kujihusisha na ugaidi.
Na je hawa wajahd wanaweza kukubali mfumo wowote usio fuata misingi ya kiislam?

Hili suala ni gumu sana hata kama CCM ingekua haipo madarakani.Kudili na wajahid ni kazi ngumu kwani hawaridhiki hata huko peponi watakaidi tu.Hawana jema.
 
Last edited by a moderator:
Waislam bana! Si ajabu shule 10 za mwisho mtihani wa form4 ziko Tanga
Acha umburula wewe mfugaji. Maandalizi mazuri shuleni ya walimu na wanafunzi ndio yanayofaulisha sio dini. Unapokuwa idle hauna cha kufanya fungua emmanueltv umchangie "nabii mpiga ramli" Tuberculosis (T.B) Joshua :smile-big::smile-big::smile-big:...
 
Maelezo ya mtoa mada matumbo yanaonesha hivyo,nenda kamuulize atakuambia,haya mambo ya kufikiri kuna dini inawachafua ndio yanawafanya mnakuwa wajinga sana!

Mjinga ni yule aliyepigwa pumbuz halafu badae wakamtundika mtini
 
Last edited by a moderator:
Ikiwa hii clip ni ya kweli tunatakiwa kwanza tujiulize nani katufikisha huku......na kwanini tumefika huku........na chanzo cha yote ni nini...???....na huyo jamaa nyuma yake amezungukwa na watu wa aina gani.....??......na kwanini yote haya yanatokea kwenye uongozi huyu aliyepo madarakani...........????

Afadhali ya huyu aliyepo madarakani kipindi cha yule kifimbo cheza watu walitaka kupindua nchi kabisa tuulize tuliyokuepo enzi hizo
 
Mmarekakani Anafanya Gas Na Mafuta Ni Kua Ni Laana Ktk Nchi
 
Acha umburula wewe mfugaji. Maandalizi mazuri shuleni ya walimu na wanafunzi ndio yanayofaulisha sio dini. Unapokuwa idle hauna cha kufanya fungua emmanueltv umchangie "nabii mpiga ramli" Tuberculosis (T.B) Joshua :smile-big::smile-big::smile-big:...

Haibadilishi maana kwamba shule 10 za mwisho zote ni za waislam na huyu mvuta bangi nae ni muislam
 
Afadhali ya huyu aliyepo madarakani kipindi cha yule kifimbo cheza watu walitaka kupindua nchi kabisa tuulize tuliyokuepo enzi hizo

Ulikua enzi ipi we punguani, comments zako zinakutambulisha umesoma shule ya kata.
 
Muda umefika wa Jwtz kufanya usafi, wapewe mafagio wafagie watoe uchafu huu, unaoanza kuota mizizi.
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 gaidi kavaa yeboyebo hawa ni bora wangeenda uza maji au karanga kariakoo maana kifo chao kwa risasi za JWTZ kimewadia
Jamaani wale vijana wenzangu ambao mpo madrasat na wengine ambao hamna kazi
Tafadhali tisidanganyike na watu wachache "eti tupigane kwa ajili ya jambo fulani utapata thawabu" ACHA huo muda nenda katafute kibaraza uanze kushona ndala utajipatia riziki.

1423976237679.jpg
 
Kwenye hiyo video ni kama waigizaji fulani vijana wadogo tuu ukiwasikia sauti
INASIKITISHA
 
Haibadilishi maana kwamba shule 10 za mwisho zote ni za waislam na huyu mvuta bangi nae ni muislam
Sasa nyinyi wenye shule kumi bora mnazalisha wasomi gani zaid zaid ya wezi kama kina askofu kilaini na rugemalila??


Mbuzi katoliki akili fyatu sana aisee.
 
Sasa nyinyi wenye shule kumi bora mnazalisha wasomi gani zaid zaid ya wezi kama kina askofu kilaini na rugemalila??


Mbuzi katoliki akili fyatu sana aisee.
mkuu ni kweli "tano bora" za mwisho ni za kiislam?pengine fitna za NECTA,em fatilia mkuu
 
Back
Top Bottom