Bibi Kizee
JF-Expert Member
- Feb 18, 2008
- 211
- 9
Taarifa za ndani kuhusu uvamizi wa Vituo vya Polisi ni pamoja na Fitina iliyopo ndani ya Polisi na huo udhaifu wa Polisi
Sasa ni jambo la ajabu kwamba Gaidi anasema vituo vya polisi ni dhaifi wakati hilo ndo Mtaji wake!!
Hata hivyo Chuki ya UDINI inayotajwa ni ile dhidi ya Mfumo Kristo sasa kwa nini Hao Magaidi walio upande wa Dini ya Kiislamu wafanye Ugaidi katika Maneo yenye Uislam na Kuacha Ukristo??
Angalia Maeneo yaliyo athiriwa ni
MKOA WA PWANI
IKWIRIRI
TANGA
SONGEA Huko kwenye Gasi
Sasa kwa nini wamefanya Ugaidi maeneo hayo ???
Wanaposema Polisi ni Dhaifu inamaana Polisi wa Maeneo ya Kiislamu ndo dhaifu?? Na kwa nini??
Kiini macho, aweza kuwa yeyote, na yaweza kuwa Vyovyote, ila ili ikubalike basi kama kawaida "ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya"
