Huyu ndo Mkuu wa Majeshi ambaye watu wanaweza kujivunia kuwa naye

Experience kwenye uwanja wa kivita ni kitu muhimu sana.

Na sidhani kama kuna taifa linalolizidi Marekani kwenye uzoefu wa mambo ya kivita.

Uzoefu huo wa Marekani ndo unaifanya Marekani iwe na mafanikio mengi ya kijeshi.
Toka WW2 imalizike, Marekani imegeuka "war economy" na Kila siku ipo vitani, hivyo vita imekuwa mwendelezo wa sera zao za nchi.
 
Tanzania is safe na SSH is there mpaka 2030.

nchi ina Amani
uchumi wa wananchi upo imara
Ajira zinapatikana
Huduma za kijamii , maji umeme inapatikana.

uhuru wa maoni na habari UPO

so Diaspora mjitafakari na hiyo colonial mindset.
huu uandishi wa kichawa utadharauliwa na kuonekana ni muongomuongo
 
Hiki kitu walichokifanya Marekani ni cha kukemewa sio kusifiwa.

Unaendaje kuteka Rais wa Taifa jingine huru?
Huwezi kuua raia wako usichukuliwe hatua eti kisa wewe ni taifa huru, lazima ushughulikiwe tu, marekani kafanya vizuri tu, maana hajamuua ila amemfikisha mahakamani, kama hajafanya makosa akajitetee huko.
 
Wanajeshi wetu wapo kusubiri amri za kina kichwa bapa na kina Magoti za kufanya usafi mitaani...aibu sana.
 
Hiki kitu walichokifanya Marekani ni cha kukemewa sio kusifiwa.

Unaendaje kuteka Rais wa Taifa jingine huru?
Uhalifu hauna mipaka ya kuadhibiwa
Hata ukishindwa KUSIMAMIA familia yako kama mzazi Kuna external force inaweza kutumika kukuadhibu

Kwa ujinga wa viongozi kudhibiti vyombo vyote na kuvitumia Kwa maslahi Yao wanastahili kukamatwa kama Maduro
 
At least Kepteni Tesha angekuwa Mkuu wetu wa Majeshi tungesema kwa mbaaali anaendana na Mkuu wa Majeshi wa Marekani.

Ila ukiongoa Kepteni Tesha hawa wengine wote waliobaki pale JWTZ ni ngumbaru na wapumbavu watupu.
 
Ila kuua waandamanaji ni sahihi mkuu? Jinyamazie bro Kuna laana zinasambaa fikiria familia Yako jikalie kimya mkuu, HUYO aliua mpaka watoto wa miaka kumi na nne walioandamana Venezuela
 
Kama unaona movie vile
 
Siku ile ya MO29 waliwasha mtandao dk 30 ili atoe tangazo la kutishia then wakazima na baada ya hapo yakaanza mauaji ya kihistoria! ama kwa kweli Mkunda nawe unanuka damu
Huyo jamaa hilo jina lake linastahili kuondolewa herufi ile ya mwisho "a" na uweke "u".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…